Taifa star vs Morocco

Taifa star vs Morocco

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,910
Reaction score
63,591
hiki ndicho kikosi cha taifa star kitakachoanza:
1.Juma Kaseja
2.Erasto Nyoni
3.Shomari Kapombe
4. Aggrey Morris
5. Kelvin Yondani
6. Frank Domayo
7. Mrisho Ngasa
8. Sureboy
9. Mbwana Samatta
10. Amri Kiemba
11. Mwinyi Kazimoto.
mia
 
Mbwana Samatha anaipatia T.stars goli la pili.STARS 2-0 MOROCCO
 
Stars wanapata goli la tatu kupitia Tomas Ulimwengu.STARS 3-0 MOROCCO
 
Daah ebana eeh..Goli la kwanza kafunga nani wakuu?
 
Mpira umekwisha,T STARS 3-1 MOROCCO.hongera sana vijana wa T stars.
 
Wadau Mbwana Samata kapiga 2 na Thomas Ulimwengu kapiga 1, majamaa wakapata 1 la kuvutia machozi, ila TBC wameniudhi sana.
 
Wachina muhimu Mkuu!

Wachina ndio walio-finance ujenzi wa hiyo TBC tungewaambia nini kama TBC isingeonesha ujio wa Rais wao? Tunahitaji uhuru wa kweli, tujitegemee tufanye mambo yetu wenyewe. Tusikwepe kodi, tutoe kwa uaminifu ili tuachane na huu ujinga wa kuombaomba kila kukicha.
 
Mkuu Makoye!

Kwa sera hizi za MAGAMBA kuzunguka dunia kutembeza bakuli, tutaendelea kuwa watumwa milele. Si ulimsikia hata huyo wanae muita eti ni Jembe lao (Magufuli) akikoleza kibwagizo cha kumwambia Mkulu "ENDELEA KUSAFIRI BABA ILI TUPATE PESA ZA KUJENGA BARABARA".

Heri kunyimwa Utajiri lakini upewe Maarifa.
 
Back
Top Bottom