figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,903
- 63,552
hivi hawa setanta wa star times kuna mechi yoyote ya live wanayo onyesha aua zao ni kuonyesha mechi za zamani tu?. naombeni kujulishwa!. mia
Kaka heshima yako. Ninakuhusudu. Jamaa wanaonyesha but sio zile unazozipenda,wanaonyesha sana ya uholanzi na vinchi vingine.
Hata hivyo the last el-classical walionyesha. Kama uko Arusha tutafutane. mia
...wakati fulani wanaonyesha Mechi Live lkn siyo kiviiiiile: mf. Champion League 16 bora kuna baadhi ya Mechi walirusha live.