Wazee wa uturuki na wakata miwa wa turian

njundelekajo

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
310
Reaction score
228
,,,,,kabisa utafahamu kua soka la bongo bado limejaa politics.ukifika uwanjani hauwezi kutofautisha kati ya timu yenye mwalimu mzungu na timu yenye mwalimu mzawa.hauwezi kufaham pia timu i;liyopiga kambi uturuki wala ilioyopiga kambi turian....mwisho kabisa mamilion yametumika ili ipate pointi moja dhid ya mtibwa na senti zimetumika ili wapate point dhid ya yanga
 
Yanga Mpira magazetini .. Kila mwezi wanapeleka posho kwenye media waandikwe vizuri... Wanachama ndio wauza nazi... Macho matatu!! Hawajiulizi hawajitambui... Bwegenazi

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Duh, Mkuu una roho ya paka wewe!!! Vipi ulishiriki mapokezi ya alshabab?
 
Yanga Mpira magazetini .. Kila mwezi wanapeleka posho kwenye media waandikwe vizuri... Wanachama ndio wauza nazi... Macho matatu!! Hawajiulizi hawajitambui... Bwegenazi

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Yanga timu ya Wananchi, bila kijani na njano magazeti hayauziki. Media ndio wanaitegemea Yanga, siyo kama Wachezea LIBOLO a.k.a OMAN ELDERS.
 
Back
Top Bottom