Drogba: Mourinho arejee Chelsea

Drogba: Mourinho arejee Chelsea

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,686
Didier - anaamini kwamba klabu yake ya zamani ya Chelsea ni lazima imrejeshe kocha wake wa zamani Jose Mourinho mwisho wa msimu huu kama wanataka kumaliza matatizo ya kuyumba kwa klabu hiyo.

(The Times)

Pia mshambuliaji huyo wa Galatasaray (Didier) amethibitisha kwamba alizungumza na Chelsea kuhusu uwezekano wa kurejea kuichezea klabu hiyo, lakini ofa ya Galatasary ilikuwa nono zaidi.

(Daily Star)
 
sasa drogba amesha ondoka stamford bridge kinacho mkuna ni kitu gani kuingilia yasio muhusu alienda china watu wakamsahau na sasa aliona aje galatasaray ili aje tena kucheza ucl na hakuna alicho kifanya anapenda sifa tu hana mpango wowote ---- make.
 
Drogba amewasaidia sana Chelsea kuwaweka kwenye chati na kule hata akienda kutembea anapokelewa kwa heshima zote yaani ingekuwa rais basi angepigiwa mizinga 21
 
Drogba amewasaidia sana Chelsea kuwaweka kwenye chati na kule hata akienda kutembea anapokelewa kwa heshima zote yaani ingekuwa rais basi angepigiwa mizinga 21
meongea vizuri sana angalikua raisi lakini sio raisi ni mchezaji mpira tu na hata wee ungalikua raisi ungalipokewa kwa heshima zote wachina walimpokea kwa shangwe na vigelegele wakijua drogba atakka pale muda mwingi alipoona timu yenyewe haina muelekeo akauchomoa akataka sifa achezee tena uefa champions league akaona bora ajiunge na waturuki simba akizeeka na nguvu hupungua akubali matokeo tu grogba muda haumruhusu tena la si hivyo anaweza kujivunjia hadhi
 
sasa drogba amesha ondoka stamford bridge kinacho mkuna ni kitu gani kuingilia yasio muhusu alienda china watu wakamsahau na sasa aliona aje galatasaray ili aje tena kucheza ucl na hakuna alicho kifanya anapenda sifa tu hana mpango wowote ---- make.

drogba anaheshimika sana Stamford bridge, sio kitu kigeni kwa mchezaji kutoa maoni kuhusu timu yake aliyoihama.
 
Back
Top Bottom