Newcastle United creates prayer room for Muslim players

Newcastle United creates prayer room for Muslim players

crabat

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2012
Posts
4,323
Reaction score
2,210
britain’s Newcastle United football team has created a special prayer room for its Muslim players at their stadium, reported the Daily Mirror on Thursday. Seven members of the first team are devout followers of Islam and previously used various rooms in the stadium complex to perform their prayers before a game.
An insider said: “We believe we now have more Muslims in our first team squad than any other team in the Premier League, so it is important to look after them,” according to the Daily Mirror.
“They have been using various rooms at the ground to worship before games. Now they will get a proper prayer room.”
Seven first team stars – Papiss Cisse, Cheick Tiote, Hatem Ben Arfa, Massadio Haidara, Mapou Yanga-Mbiwa, Moussa Sissoko and Mehdi Abeid- are practicing Muslims.
Former striker Demba Ba, who now plays for Chelsea, would routinely lead team-mates in prayer, stated the newspaper.
“Prayer has become an important part of the build up to big games,” the insider was quoted as saying.
“Demba was the most devout of all the players. He would regularly pray before big games, and be joined by team-mates. It helped build a bond between them.”
 
ni mfano wa kuigwa ingekuwa wanafki wa hapa tanzania wangeuliza itakuwaje jengo la ofisi litumike kwa ajili ya dini fulani, we need to change tanzanians acheni chuki zisizo na maana
 
this is a good move and a challenge for Muslim countries with Christian population
 
ni mfano wa kuigwa ingekuwa wanafki wa hapa tanzania wangeuliza itakuwaje jengo la ofisi litumike kwa ajili ya dini fulani, we need to change tanzanians acheni chuki zisizo na maana
inawezekana lakini mategemeo ni hizo ofisi kuwa na nafasi za waislam, wakristo, wahindu, bohora, wayahudi nk bila kutusahau sie ambao sala zetu ufanyika chini ya miti. ...NCFC hawajasema kama kuna vyumba kwa dini nyingine pia, tafakari!
 
Idhaa jaha nasrullahi walfatih......

......Itakapo iona nusura ya Mwenyezi Mungu inashuka, na makundi kwa makundi wanaingia kwenye Dini yake, basi Mtakase Mwenyezi Mungu wako na kila sifa njema anastahiki Yeye !
 
this is a good move and a challenge for Muslim countries with Christian population

Kwani wakiristo wana vipindi vya sala !? (kwa mfano mara ngapi kwa siku) ?

Wengi tunawaona wanjitwanga mfano wa msalaba na wanaendelea (mfano mzuri ni Chicharito na Drogba)
 
inawezekana lakini mategemeo ni hizo ofisi kuwa na nafasi za waislam, wakristo, wahindu, bohora, wayahudi nk bila kutusahau sie ambao sala zetu ufanyika chini ya miti. ...NCFC hawajasema kama kuna vyumba kwa dini nyingine pia, tafakari!

Ukitoa Uislaam, hao wengine uliowataja nao wana sali mara tano kwa siku ? Na sala zao zinahitaji faragha ?
 
Kwani wakiristo wana vipindi vya sala !? (kwa mfano mara ngapi kwa siku) ?

Wengi tunawaona wanjitwanga mfano wa msalaba na wanaendelea (mfano mzuri ni Chicharito na Drogba)

Kusali hakuna vipindi, watu wanasali wakati wowote wanapopata nafasi, pia wanapokuwa na mahitaji.
 
Ukitoa Uislaam, hao wengine uliowataja nao wana sali mara tano kwa siku ? Na sala zao zinahitaji faragha ?

Ibada zote zinahitaja faragha, na sidhani kama mtu mwenye akili zinazotosha anaweza kusuggest kuwa Chicharito anavyopiga ishara ya msalaba ndio anakuwa amesali.

By the way, we are not robots, tunasali kila inapowezekana na sio kwa vipindi vilivyoamriwa na mtu yeyote. Mungu tunayemwamini yupo wakati wote, usiku na mchana, jua na mvua, yeye yupo tayari kukusikiliza na hauhitaji kuvaa nguo ndefu kama Yesu, lah, yeye si Mungu wa nguo wala ndevu
 
Una sifa zote za mtu anayeliwa 'kabang'...

Sawa...una lingine?

Inferiority complexion. Punda ni mfano, sikusema nikimaanisha our beloved Africans ni punda amsha kichwa bwana mdogo, nilimaanisha hata wewe Mphamvu ukiamua kuoa, basi yatambue mahitaji ya mkeo kama mwanamke.
 
Last edited by a moderator:

Na mimi 'kabang' ni mfano tu, inferiori sijui nini na wewe inakusumbua...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom