Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

It's now Gor Mahia's title to lose Gor Mahia's Dan Sserunkuma crosses the ball under pressure from Tusker's David Ochieng during their Tusker Premier League match at Nairobi City Stadium on...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Wadau wa sports, Kufuatia kutangazwa kuanza mchakato wa uchaguzi wa viongozi mbalimbali wa TFF, Mimi kwa mtazamo wangu naona raisi wa sasa wa TFF bwana Leodger Chilla Tenga anastahili kupewa...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Jana kwenye pitapita zangu huko mitandaoni nikaona kwenye the Sun hiyo heading. Jumatatu wakati wa utoaji wa awards za ballon' dor Guardiola alikataa mkono wa CR7 na kuna footage jamaa wameweka...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
NAZANI GARAMA NA MIKWARA YA KUPELEKA TIMU NJE KWENYE MAHOTELI MAKARI WANGEZITUMIA KUANZISHA MICHAKATO YA UBIA NA MAKAMPUNI ili kuanzisha viwanja na baadae soka academi sio kwenda kutalii ulaya
0 Reactions
0 Replies
895 Views
13/01/2013 SOURCE; WAVUTI
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Salama wakuu...........Game inakaribia kuanza.... Kila la heri mashabiki wa Arsenal na Man City..... Karibuni sana kwa live updates.......
1 Reactions
220 Replies
18K Views
Salama wakuu...... Leo ndio siku ya watani wa jadi......Game inakaribia kuanza.... Kila la heri mashabiki wa Man Utd na Liverpool..... Karibuni sana kwa live updates.......
0 Reactions
184 Replies
11K Views
Hongereni Man U kwa kuwalaza Liverpool 2-1,Mchezo unaofuata ni kati ya Arsenal na Man City,tuendelee kujuzana.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mtanange wa kukata na mundu unataraji kupigwa kwenye theatre of dream baina ya United na Liverpool, mnamo mida ya saa kumi na nusu za alaasiri. United wana nafasi kubwa ya kushinda game hiyo kwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hili ni toleo la mwaka 2013 la sheria za mchezo wa raga kama lilivyochapishwa na shirikisho la raga la dunia, yaani IRB. Kwa wageni kabisa wa mchezo huu, kipo kijitabu kinachotoa mwongozo kwao...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mchezo bado ni bila bila azam fc 0 - 0 tusker fc
0 Reactions
123 Replies
8K Views
Kweye Kombe la Mapinduzi Zanzibar mwanadada akatisha uwanjani match ikiwa inaendelea. Nimeshanga kusikia Polisi kusema kuwa alikuwa mgonjwa wa akili na ametoroka Hospitalini, swali ameingiaje...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naona leo mzee mzima Del Bosque yupo ndani ya Goodison Park kumfuatilia Michu katika pambano la Everton vs Swansea.
0 Reactions
0 Replies
755 Views
Klabu mbili kubwa za soka hapa Tanzania za Simba na Yanga zinanishangaza kitu kimoja;Zinz mipango mingi mizuri ya kimaendeleo lakini mipango hiyo imeishia kwenye makaratasi tu kisingizio kikubwa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Mchezaji wa kimataifa wa simba fc na Uganda ametemwa kushiriki kambi ya mazoezi ya simba fc iliyoko huko umangani Oman. Okwi hajaripoti dar mpaka leo hii na toka alipo-sign mkataba wa miaka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama kawaida undisputed messi the genius kaonyesha he's the great footballer the world has ever witness!! Kiukwel dogo anajua na hana mpinzan ktk sayari hii!...cr7 wenu atasubr sana kwa huyu...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Kundi la kwanza limeanza mazoezi chini ya Boban
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Yanga imeendeleza wimbi la kupokea vichapo kutoka kwa timu dhaifu za Ulaya, na imepokea kipigo kingine cha bao 2-0 , safari hii ikifungwa na timu isiyojulikana kimataifa ya Emmen FC ya nchini...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
"Sasa nyinyi mnanishangaa nn,mbona mm ni mfupi kuliko wote kwenye familia yetu".
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…