Anjetile Osiah mbona upo kimya sana?

Anjetile Osiah mbona upo kimya sana?

kazikubwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
597
Reaction score
151
Takriban mwezi wa pili sasa sikusikii ukirusha mashambulizi kwa wale unaodai wanawaingilia katika utendaji wenu wa kazi. Je umetishwa? Unanikumbusha wakati uleee wa Rage, alipiga kelele weee tukashangaa tulipoambiwa yupo Ukonga, je kimya chako kinamaanisha ya Rage?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom