JF members Kwa Mashabiki Wa Yanga Na Wengineo

JF members Kwa Mashabiki Wa Yanga Na Wengineo

namanyele

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
1,852
Reaction score
611
habari wana Jf,
kwa mtizamo wangu tu,ningependa mashabiki wa Yanga ambao ni Jf members siku ambayo tutangaza kutwaa uchampion wa ligi kuu ningeomba tuandae sehemu maalumu tukutane hapo ili tufurahi kwa pamoja na tufahamiane pia,mm binasfi ningependa sana tukutane pale Taifa nje ya uwanja siku ya mechi kati ya Simba na Yanga
 
Sasa mambo yakiwa 5 Star kutakuwa na kikao kweli hapo mtani?
 
Sasa mambo yakiwa 5 Star kutakuwa na kikao kweli hapo mtani?

5 stars za wapi tena?
mkuu Mphamvu bila shaka uko usingizini wewe,unaifahamu Simba wewe au unaisoma kwenye magazeti tu,kwanza kabla ya hiyo mechi tutakuwa tumeshatangaza ubingwa mda mrefu sana,sisi lengo letu ni kusheherekea ubingwa
 
Sawa, ubingwa lazima uende matopeni msimu huu lakini mnyama si atataka kuchafua gazeti tu?
 
Mambo yote yafanyike "Simba Kapakatwa Pub" pale Kijitomchuzi
 
Nitakuwa bongo next friday .... Simba kapakatwa pub, ndiyo poa.
 
Haya popote pale tutakuja kuwaunga mkono.
 
Simbakapakatwa Pub
patakuwa poa sana hapo
hiyo pub iko maeneo gani? maana huwa naiskia sana pia natamani sana kufika,wengi naona wamependekeza sana hapo
 
utawafanya waongee bure...

Nakuonea huruma sana mdau, unajua kuwatangazia wenzio kuwa umeokoka huku bado una tamaa ya kuingia gest za uchochoroni na kwenye vibanda vya gongo ni kujipa adhabu ya bure tu, we Azam gani ugomvi wako na Yanga tu? Mchukie na mnyama basi japo utushawishi kuwa umebadili dhehebu.
 
Back
Top Bottom