Ukitaka Ubaya...
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 498
- 140
Kwa wana JF ambao ni mashabiki wa Dar Es Salaam Young africans Club msiwe na wasiwasi point tatu zilizobaki tunazichukua kwa mnyama! :msela:
Kwa wana JF ambao ni mashabiki wa Dar Es Salaam Young africans Club msiwe na wasiwasi point tatu zilizobaki tunazichukua kwa mnyama! :msela:
Wewe wacha kuota ndoto za mchana, Simba hata akonde vipi hawezi kuchezewa na swala. Jipeni moyo, maana ndiyo zenu lakini hamtakaa muamini macho yenu.
Itakuhusu tu wewe ndetichiahainihusu..
jamani JF members wote wenye mapenzi mema na timu yao ya Yanga,siku tutakayompakata Simba wetu baada ya mechi tukutane Simba Kapakatwa Pub kusheherekea ubingwa wetu na furaha ya kumfunga mnyama,tunaomba sana siku hiyo asikose mtu:msela:
Basi Yanga wapoteze kwa makusudi mechi mbili kwa kuwa ya Simba wana uhakika wa kupata point tatu! Hapo najua unaandika huku unatetemeka ukikumbuka 5-0
hainihusu..
hainihusu..