UCL: Sasa ni ligi mbili tu!

UCL: Sasa ni ligi mbili tu!

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,347
Reaction score
26,153
Baada ya kuchezwa tangu mwanzoni,sasa zimebaki timu nne za soka kwenye Klabu Bingwa Barani Ulaya-UCL toka ligi kuu mbili tu barani humo:La Liga(Barcelona na Madrid) na Bundesliga(Bayern Munich na Borussia Dortimund). Na mipambano ya nusu fainali itakuwa hivi:

Barcelona vs Bayern Munich
Real Madrid vs B. Dortimund

Kale kaubishi ka ligi bora barani Ulaya,sasa kamepata jibu...
 
Pana usemi kuwa kipofu aliona siku moja na bahati akaona mwezi na kurejea upofu wake, sasa ikawa kila kitu ni kufananisaha na mwezi. Hawa wanaoshabikia EPL licha ya kuelezwa na wataalam wengi wa soka kuwa si chochote ila ni kawaida ya Waengland kutaka sifa HAWAKUBALI kabisa.
 
Nifafanulie mkuu.
Shauri yako,mbona unanitafuta ugomvi na watu wewe,teh teh teh,ina maana uelewe maana hata asienda shule au kipofu anaona na kuelewa sio siasa ni vitendo teh teh teh au nikufafanulie kivp sasa,nilete siasa lol
 
Poa mkuu, umeeleweka na tupo pamoja.
 
Back
Top Bottom