ndupa
JF-Expert Member
- Jan 25, 2008
- 4,403
- 151
iv fainal za mashindano ya kombe la mabara zipo kweli mwaka huu because ni kila baada ya miaka minne kwa kumbukumbu zangu mara ya mwisho kuchezwa ilikuwa june mwaka 2009 south africa.Ambapo brazili iling'aa na kutwaa ubingwa chini ya dunga.Na haya mashindano ni kila baada ya miaka minne.