Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,154
- 38,543
Kwa kweli wanasma adui wako muombee mema mi n mmoja wao kuwaombea azam washnde ila kwa mpira huu wa leo jaman loh awa waarabu atutoki;wachezaji wazito kama wamelala guest na mizigo usiku kucha anyway nawatakia kila la kheri na nawapa baahati mkishinda navua ngui kwa furaha juu yenu