Sunday manara.v.Lionel messi

Sunday manara.v.Lionel messi

capo

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2013
Posts
232
Reaction score
47
Wale mlioshuhudia mpira wa 70s na 80s,na mliomuona sunday manara akicheza,najua kwamba alicheza yanga,pan na uholanzi Heracles, kuna mtu ananiambia nyie awa kina messi ni kama kina sunday enzi zao, lakini swali najiuliza inakuwaje mchezaji mahiri hivyo sifa zake nyingi ni hapa hapa nyumbani tu, kwenye historia ya Heracles, hiyo timu aliyocheza uko ulaya ata atajwi,mchezaji mweusi anayejulikana katika historia ya hiyo timu ni Mokane huyu ni kutoka afrika kusini.
 
Back
Top Bottom