TBC: AZAM vs SIMBA (recorded), Star TV: AZAM vs AS FAR (Live)

TBC: AZAM vs SIMBA (recorded), Star TV: AZAM vs AS FAR (Live)

Ng'wale

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2011
Posts
4,687
Reaction score
3,407
Sijaona mantiki ya TBC kuonesha mechi hiyo ya AZAM ambayo ni recorded wakati muda huo huo kituo cha Star Tv kikionesha mechi Live ya hao hao AZAM wakicheza na timu ya kigeni tena mechi ya kimataifa ukichukulia TBC ni TV ya Taifa.
 
mechi ya leo labda haina maslahi kwao (TBC).
 
mechi ya leo labda haina maslahi kwao (TBC).

Ni vema wangeonesha vipindi vingine au kama ni mechi ya mpira ambayo ni recorded iwe ambayo haihusishi AZAM, hata hivyo naona mechi yao imeisha wanaendelea na vipindi vingine. AZAM vs AS FAR 0 - 0 dk ya 52.
 
TBC inatakiwa ifanyiwe maandamano ya kupinga upuuz wao.hiyo mech ya azam vs simba walishndw nn kuirusha live?leo warushe ikiwa imerekodiwa?hii chanel toka ifunge ndoa na ccm hakuna la maana wanafanya
 
Back
Top Bottom