Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Huyu mtangazaji anaetangaza mpira kati ya yanga na mtibwa mnazi sana yani yanga imefungwa kanyong'onyeaaaaaaaaa!! Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, Inapendekezwa kila Mwezi Simba na Yanga zicheze Mechi Maalum katika uwanja wa Wembley London na sisi Watanzania tutoe kodi maalum ya Elimu ya shilingi 500 kwa kilaline ya simu ya mkononi...
0 Reactions
0 Replies
994 Views
Kocha wa Simba Julio amejinasibu kesho timu yake kuibuka na ushindi dhidi ya maafande wa JKT huku akienda mbali zaidi kwa kusema gap la point sita Simba ilizozidiwa na Yanga ambao ni mahasimu...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Haya tena wanaJF tiririkeni hapa. Jana palikuwa na El Clasico ya Copa del Rey, niambieni DSTV waliionesha channel ipi? Tupia kwa mjadala wa kujenga.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
It is possible to say that this is belated but the issue of having not allowed Zambia to represent Africa in the coming Confederations Cup is a serious and sad one. Herve Renard, on Tuesday...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Imeelezwa kuwa kina dada mashuhuri na waandamizi katika fani ya uchangudoa wa kimataifa hapa nchini wapo kwenye mchakato mkali wa kujiweka sawa kwa kufanya shopping za nguvu kwa nia ya kuwanasa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
With the success of sides such as Cape Verde and Togo in reaching the last eight of the Africa Cup of Nations for the first time, one major omission from the business end of the tournament may...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
http://www.mwanaspoti.co.tz/readnewzt_sp.php?id=1512 MICHAEL MOMBURi ACHANA na safari za ndani ya mipaka ya Tanzania. Nimesafiri na Yanga kwa miaka tofauti kwenye ziara za kikazi katika nchi za...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Never mind his diminutive size, Mwinyi Kazimoto is arguably the best midfielder in Tanzania. His precise and accurate ball distribution separates him from the rest of the pack, simply puts him at...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
World's Oldest Marathoner to RetireBy Gillian Mohney Posts By Gillian Mohney | ABC News Blogs – 14 hours ago Email Share Share1 Print World's Oldest Marathoner to Retire (ABC...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeona moja kati ya mapingamizi ya Manji TFF ni kuwa; hana elimu ya form iv, hivi kuna ukweli wowote hapo!!!!!!!? Wanao muelewa hebu tupeni ukweli
0 Reactions
5 Replies
1K Views
klabu yenye mafanikio zaidi hapa ulimwenguni ambayo pia ndio klabu iliochezewa na nyota wengi zaidi na pia ikiaminikia kuwa ndio klabu inayopendwa na kila anaependa Soka yaani AC Milan imefanikiwa...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Leo mchezaji aliyewahi kuwa nahodha wa timu ya taifa ya Uingereza David Beckham amesaini mkataba wa kujiunga na klabu ya ufaransa ya Paris St. Germain kwa muda wa miezi mitano. Akiongea na...
0 Reactions
0 Replies
864 Views
nimesikiaaa kwamba DAVid beckaham katua arseno....sikwel bhana wanabid wajpange kwa ku an d i ka ne w z,za uwakikaa.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Dakika 7 zijazo mtanange utaanza.Nawaona wachezaji wanajiandaa kuingia uwanjani.Leo ndio leo...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mwenye copy ya gazeti la yanga lililoandika Okwi kamwaga wino jangwani kwa mamilioni naomba anisaidie. Shukrani wakuu Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Brazil presented the official poster for the 2014 World Cup at a ceremony in Rio de Janeiro on Wednesday, unveiling bright colors and fluid patterns that evoke the tropical nation's rich flora and...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Brazil presented the official poster for the 2014 World Cup at a ceremony in Rio de Janeiro on Wednesday, unveiling bright colors and fluid patterns that evoke the tropical nation's rich flora and...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cape Verde 2-1 Angola-Cape Verde are definitely through following their victory over Angola. The country of 10 islands, with a population of less than 600,000, had never been at a major tournament...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kama kawaida Mnyama Unyamani kama kawaida analeta burudani ya kutosha pasi za kutosha, chenga za maudhi, kasi ile ile, maujanja ya kutosha n magoli ya mbele nk. Si unajua tena mnyama soka la...
0 Reactions
133 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…