Nikhil
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 361
- 120
Wakuu hii ni special kwa shabiki atakaye weza kutabiri mtanange huu kati ya barca na bayern kama tunavyojua ni leo 3:45 usiku. mpango mzma unakuwa hivi
Taja idadi ya magoli na phone no yako kisha comment hapa.
Kismati yenyewe ni Tsh 20,000 za kitanzania atakaye patia atatumiwa kuoitia akaunti yake ya simu.Namaanisha m pesa,tigo pesa, airtel money na zantel mimina