mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,475
- 21,046
Leo ndo leo ni mwisho wa real madrid ndani ya uwanja wao wanachinjiwa baharini santiago bernabeo na BVB ndo hao wanatinga fainali Lendowsky atapiga nyavu kama kawaida ,leo madrid kajitahd sana ni draw au hata akishinda sio ushindi wa kuchomoa goli za kuingia fainali ,mimi naahidi ikishinda nameza kisu+mundu na kunywea maji
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums