Kwa nini Heavy Weight Boxing inakosa msisimko hivi sasa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini Heavy Weight Boxing inakosa msisimko hivi sasa?

Discussion in 'Sports' started by Mwalimu, Mar 13, 2012.

 1. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Baada ya zama za kina Tyson, Holyfield, Lewis kupita heavyweight boxing inaonekana kukosa ule msisimko wa zamani. Mikanda mikubwa 5 yote imekamatwa na wanandugu toka Ukraine kina Klitchko huku kukikosekana wapinzani wakali wa kuwatoa jasho hawa jamaa. Wapinzani wao wa hivi karibuni Chisora angeweza kufanya vizuri dhidi ya Vitali kama asingeendekeza bangi na Mormeck nae hakufua dafu dhidi ya kaka mkubwa Wladmir na kudundwa mapema.

  Nini kimesababisha hali hii kutokea? Ni kweli hakuna wapinzani wakali wa kuwachachafya hawa jamaa?
   
 2. myao wa tunduru

  myao wa tunduru JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 615
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 35
  Utawala wa klitschos brothers unafanya heavyweight ikose msisimko kwani wamarekani wanaoamini uzito huo ndo wao hawana wa kuwashinda wakali kina klitschos!arreolla waliokuwa wanamtegemea hakufua dafu kwa miamba ile toka ulaya mbaya!!mcuba ambaye watu wengi walitegemea angefanya vizuri odlanier solis nae alishindwa kumaliza pambano na klitscho!!!naamini klitschos wakistaafu msisimko utarudi kwani kutakuwa hamna mfalme wa heavyweight kwa kila pambano litakuwa si lakukosa
   
 3. t

  thedon JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 461
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  I think boxing it self as a sport is loosing out to the newer, much more popular, sport of mixed martial arts. The argument of which is better of the two is a very touchy subject for both sides but its clear that MMA has captured the minds of the younger generation. Personally I find MMA much more exciting to watch because of its many dimensions, but at the same time I still appreciate the art behind boxing. As far as the heavyweight division of boxing is concerned, I believe the main reason for the lack appeal is the lack of charisma in it champions and lack of worthy opponents. If you look at champions of past such as Ali, Tyson, Jack Johnson, Marciano to mention a few they all had their own brand of charisma that attracted attention to the sport. Tyson was a nut-case that had the talent to match, Ali needs no explanation, Foreman was just so menacing and dominant and many more who all brought attention to the sport, whether good or bad, and were blessed with amazing talent. These fighters faced worthy opponents at every stage in their careers which reaffirmed their greatness. In his career Ali faced Sonny Liston, Joe Frazier, George Foreman and many other great fighters. I believe this combination of charisma and talent is what made the heavyweight division the marquee division of boxing in the last century. If you look at boxing now who has that charisma to make people root for him or just plain dislike him for no reason? Beyond Mayweather ( an absolute punk, though a highly skilled punk at that) and Pacquiao (class act) its hard to think of any. The Klitschkos are great fighters no doubt but in this era they are made to seem even better because of the lack of good opponents. As good as the Klitschkos are they have boring personalities and unless you are Pacquiao just being a class act does not cut it. It works for Pacquiao because he faces worthy opponents. The way the things are going it hard to envision heavyweight boxing making a comeback. The world nowadays demands more excitement and brutality, things that heavyweight boxing once offered, but it seems heavyweight MMA is the answer to that for many. Parting question; Who would have won between Jack Johnson and Ali? or Joe Louis and Ali?
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Mar 14, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,417
  Trophy Points: 280
  Boxing kwa ujumla imeanza kuchuja sana. Hii ni kwa sababu ya talent level. Hakuna kabisa talent sasa hivi ukiondoa Mayweather, Pacquiao, na wale Klitschko brothers.

  Na kwa vile hakuna dominant American heavyweight basi heavyweight division ndiyo imedorora zaidi. Hata Lennox Lewis licha ya kuwa Muingereza/Mkanada/Mjamaica, mapambano yake mengi alipigana akiwa Marekani.

  Kina Klitschko wao wanapigana zaidi Ujerumani. Ili upate jina kubwa ni lazima upiganie Marekani.

  Ila pia the emergence of MMA nayo imechangia kwa kiasi kikubwa kuifanya boxing kwa ujumla kukosa msisimko. MMA is just much more exciting compared to boxing which in essence is just a one dimensional.

  The fact that in MMA one can win is so many ways is what makes it more exciting and attractive to watch.
   
 5. t

  thedon JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 461
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45

  Exactly what I'm saying
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Mar 14, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,417
  Trophy Points: 280
  Who you got between Jon Jones vs Rashad Evans? Alistair Overeem vs Junior Dos Santos?
   
 7. t

  thedon JF-Expert Member

  #7
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 461
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  I'll take Jon Jones over Evans even though Evans is my favorite since his time in TUF (he was so underrated). For the second match-up I got Dos Santos.
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Mar 14, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,417
  Trophy Points: 280
  Word!

  Your picks are my picks.

  War JDS!!
   
 9. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #9
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,711
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  labda walioko ulaya ya mashariki nao waseme je boxing kwao ina msisimko zaidi wakati huu au zamani?sababu wakati huu tunaona mataji yote yapo mashariki mwa dunia!may b we dont belong to the east ndio maana tunaona imepowa!wana jf mlioko pande za urusi mnasemaje?
   
 10. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #10
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,711
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  kuhusu kupungua kwa vipaji toka marekani,nimewahi kutafakari na kuona blacks \africans we are not great athletes by nature!ila mazingira ndio yametufanya tukawa hivyo!huwezi kutarajia level ya maisha will smith imfanye jaden smith kuwa bondia hatari kama tyson!blacks in america sasa wana maisha mazuri wanatoa watoto walaini kama wazungu
   
 11. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #11
  Mar 14, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Tough one...

  Jack Johnson vs Ali- Ali's speed would eventually worn out Jack...A win for Ali
  Joe Louis vs Ali- A very close call due to their almost same speed though Joe had that serious knockout power... A win for Joe
   
 12. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #12
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,390
  Likes Received: 22,272
  Trophy Points: 280
  Ndondi is dying slowly
   
 13. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #13
  Mar 14, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Kweli kabisa mkuu...

  Nafikiri talent zipo somewhere ila hazijapata mtu wa kuzipiga msasa vya kutosha.

  Kitu kingine kinachochangia msisimko kushuka nafikiri ni huu mlolongo wa organisation za boxing kila moja ikiwa na mikanda yake kiasi cha kusababisha mkanganyiko mwisho wa siku. Kama hiyo pekee haitoshi pia kuna usanii mwingi mno katika mashirikisho haya pamoja na kwa promoters. Mfano mzuri ni jinsi walivyohandle fight ya Chisora na Klitchko. Kwenye press conference baada ya fight jamaa waliruhusu makusudi David Haye (chizi mwingine) aingie ukumbini mle kuanzisha ubishi na Chisora lakini at the end of the day it backfired on them pale walipoamua kuzichapa kavu kavu hadi kuumizana.

  Hali ni tofauti kabisa kwenye MMA ambapo Dana White yuko serious kweli kwenye kazi na haendekezi upuuzi...anahakikisha wachezaji wake kiwango kiko juu wakati wote na mtu akishuka anapigwa chini.

  I really do miss them days when we had to wake up at 4am Sunday to watch Tyson fight...and end up missing going to church!!
   
 14. Iselamagazi

  Iselamagazi JF-Expert Member

  #14
  Apr 28, 2013
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 2,221
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  well said!
   
 15. o

  obwato JF-Expert Member

  #15
  Apr 28, 2013
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Nimefurahi wadau wengi mmetoa michango chanya, kiujumla umaarufu wa ngumi unapungua na hata vipaji vinapungua, sio ulaya na amerika tu hata hapa kwetu ngumi hazivutii na hazina msisimko kama zamani, kipindi kile ngumi zinachezwa Railway Gerezani na DDC Kariakoo ukienda kuwaona kina Stanley Mabesi "ninja", Charles Libondo"mawe", Iraq Hudu, George Sabuni"lister", Ernest Bujiku"tyson", Hamisi Kimanga Emanuel Kimaro na wengine wengi, ukirudi nyumbani umeburudika vya kutosha lakini kwa sasa tunasikia jina moja tu la Cheka, kwa mtazamo wangu huyu angeibuka kipindi cha kina Mabesi asingepata jina kama sasa, ukitazama uchezaji wa Cheka anashinda kutokana na kuwa na pumzi pamoja na nguvu lakini sio "entatainment talent" pia wapinzani wake wengi hawajitambui ni wahuni na watu wa starehe hivyo wanachoka mapema sana, Cheka anatumia sana "straight punch" yaani jab na right lakini sio mzuri kwenye "Hucks" na "Upper Cuts" ndio maana mechi zake nyingi anamaliza kwa points.
   
 16. rubaman

  rubaman JF-Expert Member

  #16
  Apr 28, 2013
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 4,543
  Likes Received: 837
  Trophy Points: 280
  Nadhani ni ww that not great athlete by nature. Ungejua weusi ndo wanaotamba katika michezo mingi hasa Marekani usingesema hivyo.
   
 17. P

  Pazi JF-Expert Member

  #17
  Apr 30, 2013
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 2,918
  Likes Received: 623
  Trophy Points: 280
  Mie naona UFC imeshika kasi sana USA na Brazil, vijana Wenye maumbo ya Kuwa heavy weight siku hizi wanakimbilia UFC na NFL American Football Mie pia naona bora nitizame UFC Anderson Silva kuliko Boxing za Heavy weight.
   
 18. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #18
  Apr 30, 2013
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,417
  Trophy Points: 280
  Unasemaje kuhusu potential fight ya Anderson Silva na Jon Jones?

  I got my money on Bones Jones....
   
 19. P

  Pazi JF-Expert Member

  #19
  Apr 30, 2013
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 2,918
  Likes Received: 623
  Trophy Points: 280
  . Dah sijui Kama itatokea Anderson Silva smart ila sio kwa Jon Jones tatizo Jon Jones atapigwa only akitaka pambano liwe refu afurahishe fan sababu Jon Jones sio boring fighter anaweka pambano refu sasa Silva si wakumchelewesha ila Mie pia my money kwa Jones.
   
 20. rubaman

  rubaman JF-Expert Member

  #20
  May 1, 2013
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 4,543
  Likes Received: 837
  Trophy Points: 280
  MMA inaua hadi WWE sio boxing tu, si unaona WWE inavyohaha ku attract kina Brock Lesnar back ili waongeze competition vs MMA. Hata Dave Batista amekimbilia MMA. Nasikia hata kina John Cena, Triple H wameshawaTHINK kukimbilia MMA.
   
Loading...