Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,000
- 100,194
..kutoka kwa mmoja wa wapambe wa mgombea wa kiti cha Urais bwn Nyamlani
..ni kwamba ujumbe wa FIFA uliokuja hapa na kuondoka leo..wamekubaliana na maamuzi ya kamati hivyo watampitisha Nyamlani..hii ni kutokana na "maovu" na "madudu" yaliyofanywa na Rais aliyemaliza muda Bwn Tenga
Chanzo hiko cha kuaminikia kinasema kwamba Rais wa sasa bwn Tenga hana imani na Malinzi...eti alisikia kuwa malinzi akifanikiwa kuwa Rais wa TFF..atafuatilia SUALA la UWANJA WA KARUME ambao inadaiwa uliwekwa "DHAMANA " kwa benki ya NMB ili TFF wapate mkopo wa kuigharamia timu ya Taifa ya Brazil ilipokuja Tanzania
chanzo hiko kinasema kwamba Mamelodi na mwenzake Primo corvaro wamekuja kutuliza tu mzuka wa serikali..ni mambo machache sana watayatolea ufafanuzi....
cc Jamal Malinzi
Companero
na wadau wengine..hii mnaionaje...?

Last edited by a moderator: