Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 61,918
- 38,244
Ama unatafuta mpira wa pili?KATIKA HALI YA KUFEDHEHESHA MCHEZAJI WA BDORTMUND LEWONDOSKY ALIFURAHISHA WAANDISHI WA HABARI KABLA YA KUONDOKA KUKWEA PIPA KWENDA SPAIN AKASEMA NIWACHEKESHE LAKINI NI UKWELI HALISI;;"nilipofunga bao la nne rafiki yangu pepe akaja kuniuliza mbona hivi leo ujatosheka mabao manne ama wataffyta mpira wa pili;;;;;Wakati huo huo MCHEZAJI NA MSHAMBULIAJI LEWONDOSKY AMEAPA KUACHA SOKA KAMA ATOIFUNGA MADRID MECHI YA MARUDIANO