Ronaldinho - Ukubwa Jaa!

Ronaldinho - Ukubwa Jaa!

Na me nimeiona hiyo, its a sign kwamba Brazil bado hawana team for 2014, wachezaji wanaocheza kwenye vilabu vikubwa hasa vya ulaya ukiwaangalia hata hawafanani na the real samba boys, wa kawaida mnoo, apart from Thiago Silva, simuoni mbrazil wa kubishana na Wajeruman, Waspain n.k ndio maana big Phil kaona bora Dinho awepo kikosin awafunde kidogo kina Oscar, Neymar and co.
 
teh teh ilivyobandikwa hapa sikufanikiwa kuiona...
Leo ktk pekuapekua zangu ndo nimeifumania...
dah huyu jamaa anamkosesha mtu usingizi kwa kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom