Msaada jaman anaeangalia gem la madri na dotmund

kigoda

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2012
Posts
1,781
Reaction score
361
Msaa wa matokeo kwa anaeangalia game tupo kijijin huku hatuelewi kinacho endelea
 
Una "joki" au upo "siriazi" kama unaweza kupost hapa JF kwa nini ushindwe kupata matokeo hadi ushindwe kujua kinachoendelea? au unataka web zinazotoa live scores! ?
 
Mchina ndugu yangu
 
Matokeo hadi dk 95 zinaisha, na mpira kwisha ni
R/Madrid 2, B/Dotmond 0, mabao ya RM yamefungwa na Ramos 1 and Benzema 1
Matokeo ya Jumla ni B/Dotmund 4, RM 3, kwa maana hiyo B/Dotmond amesonga mbele kwenda Fainali pale Wembley.
 
Back
Top Bottom