Imefanya kazi San Siro. Ni Cataneccio ya Kitaliano. Huwa inahitaji discpline kubwa sana ya Kimafia ya kukaba. Lakini haitaweza kufanya kazi Nou Camp. Watabana sana ila wataachia!
Picha hii hapa...
Hawa jamaa watatu hapo juu wanasifika kwa kuwa na maneno mataaaaam na mbwembwe na madoido na machejo meengi wanaposifia au kuelezea timu zao au wachezaji wao hapa jukwaani
Hawa ukiwapa tenda...
Wakati sakata la chama cha soka likiendelea nchini kuhusu uchaguzi wa viongozi
wa tff
jana nilishikwa na butwaaa kusikia mama yetu yule rais wa chama cha burundi nae
akisogeza mbele uchaguzi...
MFADHILI wa Simba SC, Rahma Al Kharoos amesema kwamba timu hiyo kwa sasa haistahili kufundishwa na kocha kutoka nje, kwa sababu haina wachezaji wataalamu na wenye ubora na viwango, hivyo...
Azam wameanzisha uhusiano na Star tv kuonyesha mechi zao. Hongera azam fc na star tv
ukitaka maendeleo ya soka njoo azam fc na ukitaka ushabiki wa soka nenda simba au yanga
Paralympic gold medalist Oscar Pistorius is charged with murder on Thursday after his girlfriend was shot dead at his home in Pretoria. Brigadier Denise Beukes distances the police from earlier...
SHIRIKISHO la Soka Duniani (Fifa) limeingilia kati uchaguzi mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania baada ya kupokea malalamiko ya baadhi ya wagombea pamoja na kuangalia upya katiba ya TFF kama ina...
Mimi ni shabiki wa Simba nakiri hali ya sasa kitimu ni tete sana. Mbali na matatizo yaliyopo kwa sasa kocha Lewik ni tatizo lingine pia. Haelewani na wachezaji. Kuna siku niliongea na mchezaji m1...
Bathez Yanga anapata nafasi.....mmemfukuza kocha Milovan.... mkamleta huyu kutoka ufaransa... lakini mkamleta Basena toka Uganda, hapo hapo mkamwita Julio, bado mkamwita Twalib kutoka Oman...
HATERS LIMEWASHUKA...
Mshambuliaji mwenye uwezo wa ajabu ambaye hivi karibuni alijiunga na klabu yenye mafanikio zaidi ulimwenguni yaani AC Milan jana aliipatia klabu yake hiyo goli la ushindi...
Kama kawaida yake kwa wale waliomsikiliza jana baada ya mechi
kocha msaidizi wa simba amenisikitisha sana sana
aliulizwa na mtangazaji vipi kocha leo imekuwaje tena bila kupepesa
macho akadai...
HAAAHAAA NAJUA MNAMLALAMIKIA MTU ANAITWA MTIGANJOLA KKWA KUMWONDOA MALINZI
LAKINI NAPENDA NIWAAMBIE NDUGU ZANGU WATANZANIA WENYE KULETA AMANI KWENYE MICHEZO
CHANZO KIKUBWA CHA FUJO HIZI NI...
Wadau wa michezo,
Nimejaribu kufuatilia kidogo harakati za huyu bwana katika medani za soka la bongo, na napenda kutoa pongezi kwake kwa moyo mkubwa alionao katika kutaka kuongoza soka la bongo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.