Umslopagazi
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 1,737
- 935
Duh! wadau ni kweli jamani?
Duh! wadau ni kweli jamani?
Duh! wadau ni kweli jamani?
ni kweli,maana walistahili kuwapiga 5.
Si unajuwa mpira
feki jinsi ulivyo? Hapa anasema hivyo kwa sababu anajuwa fika mpira wa
Simba na Yanga si mpira bali ni vimbwenga vilivyotawaliwa na uchawi. Na
hapa alikuwa anasema hivyo kwa sababu alishapima na kuona kuwa benchi la
ufundi (uchawi) la Yanga liliizidi Simba kete. Kwa kifupi; kushabikia
Simba na Yanga ni sawa na kukosa la kufanya.....ule si mpira bali ni
mashindano ya uchawi. Mwinyi was right kuita mpra wa kibngo kichwa cha
mwenda wazimu kwani aliona mbali ila watu walio wengi hawafikiri hivyo
kutokana na ufinyu wa mawazo waliyonayo. Huwezi kuwa na akili timamu
ukapenda mpira wa Simba na Yanga, hilo mi nakataaa kata kata.
mh haya mkuu!