Jamani naombeni msaada wenu,hii haikua mechi ya fainali,kwanini simba wamepewa medari.?na kama ni utaratibu mbona mwaka jana baada ya kuwaadhibu yanga kwa gori tano hawakupewa medari.?
Ina maana we hujui kuwa hapa nchini kwetu tunaruhusiwa kufanya tukio kwanza kisha sheria inatungwa baadae kama itaonekana inafaa? BTW Mnyama ameshika nafasi ya tatu labda wamepewa medari za shaba.
Simba koko leo kapewa shanga avae kiunon, zile sio Medali...
Simba dume wewe ndala
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Mi nilicheka mgeni rasmi badala ya kumkabidhi kombe nahodha wa Yanga ili alinyanyue juu na kushangilia pamoja na wachezaji wenzake na mashabiki uwanjani akalinyanyua yeye na kushangilia, naona alijisahau kwa furaha na watu tumeshajua yeye ni mpenzi wa timu ipi.