Cecafa kagame cup groups 2013

Cecafa kagame cup groups 2013

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,393
Group A
EL Merriekh(Sudan), Simba(TZ), AL Mann(Somalia), APR(Rwanda)
Group B
AL Hilal(Sudan), Ahl Shandi(Sudan), Al Nasri(S.Sudan), Tasker(Kenya), Super Falcon(ZnZ)
Group C
Yanga(TZ), Express(UG), VItalo(Burundi), AS Port(Djibouti)
 
mmmh hilo kundi C!!!!!na mbona Sudan wameingiza timu nyingi namna hiyo, 4!!!!
 
mmmh hilo kundi C!!!!!na mbona Sudan wameingiza timu nyingi namna hiyo, 4!!!!

Sudan timu 3 kwasababu ni wenyeji, iyo nyingine ni ya South Sudan ilicheza na azam kwenye shirikisho kama unakumbuka
 
Group A
EL Merriekh(Sudan), Simba(TZ), AL Mann(Somalia), APR(Rwanda)
Group B
AL Hilal(Sudan), Ahl Shandi(Sudan), Al Nasri(S.Sudan), Tasker(Kenya), Super Falcon(ZnZ)
Group C
[COLOR=#COLOR]Yanga(TZ),[/COLOR] Express(UG), VItalo(Burundi), AS Port(Djibouti)

Hapo kwenye RED hao ndio watakaocheza final.
 
Naikumbuka Al Ahly Shand, nadhani hii timu nikali zaidi ya Libolo. Kwa kifupi kombe litabaki Sudan.
mkuu linaweza lisibaki huko ila wanayo nafasi kubwa sana ya kulibakiza,timu 4 zikicheza nyumbani ni zaidi ya jeshi la mbwa mwitu!
 
Naikumbuka Al Ahly Shand, nadhani hii timu nikali zaidi ya Libolo. Kwa kifupi kombe litabaki Sudan.

hawa walishinda 3 sudan vilivile walipigwa 3 tz na simba waliitoa simba kwa matuta mkuu
 
usajiri ukiwa mzuri simba bingwa apo hakuna timu ngumu
 
usajiri ukiwa mzuri simba bingwa apo hakuna timu ngumu

Al Ahly Shand Je, unawabeza huku ukijua fika yaliyomkuta Simba? Mwisho, Simba licha ya kuchukua kombe hili mara nyingi zaidi ya klabu yoyote, haijawahi kuchukua kombe hili nje ya ardhi ya TZ, hivyo itakuwa ni miujiza ya karne.
 
Al Ahly Shand Je, unawabeza huku ukijua fika yaliyomkuta Simba?

timu za Sudan msimu huu zimeshuka ubora zimetolewa round ya 1 na nyingine round 2 kwenye michuano ya CUF, mnyama atatamba kama unanyojua Simba ndo mwakilishi bora tz kwenye michuano ya kimataifa
 
Hilo kombe naona namna timu yangu ya Yanga inavyoenda kulitema huko Sudan, na nadhani litabaki huko huko Khartoum.

Kama kweli wewe ni mshabiki wa Yanga, nikupe hongera sana ni washabiki wachache sana wanaona hatari ya timu zetu kuliacha kombe hili huko. Timu za Sudani zina uwezo mkubwa sana wa kucheza soka la ushindani,na zinajua pia kutumia viwanja vya nyumbani. Watu wasidanganyike eti kwa kuwa zimeshindwa kusonga mbele mwaka huu basi zitakuwa zimefulia.

Timu zetu zinapaswa kujiandaa kwelikweli
 
Pamoja na yanga kupangwa kundi laini lkn safari lazima iwakute esp robo fainali. Sioni simba kufika mbali sana unless walete majembe matatu ya maana beti ya kati ya hatari (owino's type) wa kusaidiana na kapombe na central strikers mbili za kufa mtu (target man mmoja na inside 10 m1 wa hatari sana) wings tunao kuna messi wawili huyu wetu na wa coastal n chanongo. Viungo sio issue sana tunao kibao kina kazimoto gallas mkude seseme aka mario gotze na huyu aliyesajiliwa jkt yuko sawa. Viva simba Sc

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
timu za Sudan msimu huu zimeshuka ubora zimetolewa round ya 1 na nyingine round 2 kwenye michuano ya CUF, mnyama atatamba kama unanyojua Simba ndo mwakilishi bora tz kwenye michuano ya kimataifa
nakubaliana na wewe (simba mkali kwa michuano ya nje) ila kwa Libolo tu ndio mambo huwaga hovyo
 
Group A
EL Merriekh(Sudan), Simba(TZ), AL Mann(Somalia), APR(Rwanda)
Group B
AL Hilal(Sudan), Ahl Shandi(Sudan), Al Nasri(S.Sudan), Tasker(Kenya), Super Falcon(ZnZ)
Group C
Yanga(TZ), Express(UG), VItalo(Burundi), AS Port(Djibouti)
Mbona hakuna timu yoyote ya Ethiopia wala Eritrea?
 
Back
Top Bottom