Ushawahi bet mchezo wowote ukashinda hela za kutosha?

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,372
Kwa wafuatiliaji wa michezo na wale wanaofanya betting online,michezo kama football,basketball,tennis,rugby,n.k.
mmeshafanikiwa kujishindia donge nono?je mlifanyaje?
unapanga timu zako kama 10 zitakazoshinda au timu 20 ujishindie millions,but always unakuta timu mbili tatu au mmoja zimezingua.
Je siri ya betting ni nini ili ushinde?
 
We mkare ... .... ... ... siri ya betting ni hii na usimwambie ntu. Usi-bet timu ishirini huo ni umburukenge unataka mamillioni kwa mkupuo haitawezekana.

Mfano kama unapenda soka chagua timu ambayo unafikiria itashinda mfano ... ....unasema Stoke City watashinda EPL basi unaweka dau la kama shillingi millioni moja ili washinde EPL. (lakini kibindoni una millioni 10 kwa ajili ya hiyo betting) Wakishinda unalipwa ambalo ni jambo jema lakini weka hesabu yako katika kipindi cha miaka 10 hivi yaani wasiposhinda unaongeza dau mara dufu mwaka unaofuata, kila unapopoteza una-double your previous bet hivyo wakija shinda at any time unakuwa umerudisha your loses na kupata faida.

Chagua michezo kama tennis, Golf nk ambako kuna masters ambao hawawezi kutokushinda kwa kipindi kirefu, lakini tatizo lake odds zao sio kubwa hivyo ni lazima uweke donge nono na michezo yao huwa mara nyingi zaidi kwa mwaka. NB Tiger mwaka huu keshashinda mara kama tano hivi, Serena mara 6, Nadal kama mara 7 hivi nk.

BTW betting chio nchezo nzuri utafilisika!
 
mkuu unaweza kuweka big amount kwenye team mmoja,mfano juzi nilisema naenda kuweza Man U anashinda,Man City anashinda,liverpool anashinda,mara roho ikasita,ningeweka ina mana ningeliwa hela kubwa maana inaonekana wengine wanauza game,kuna games unaweza ukaweka timu 15 na kuchagua watafungana magoli zaidi ya 2.5 ,unakuta ukiweka dola 1 unaangukia kwenye dola nyingi kutegemeana na cofficient,angalia tu mechi ya juzi ya man u na man city
 
Back
Top Bottom