yahoo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 3,526
- 1,410
Siku zote nasema Tanzania hakuna wasomi,kama wapo hawafiki ishirini. Wakati ngasa anakwenda kwa mkopo Simba kutoka azam kiongozi m1 wa simba aliongezea kwa kusema kuwa pia ngasa amesaini mkataba wa mwaka mmoja zaidi ya ule wa mkopo kutoka azam,kwamba atachezea simba mwaka m1 zaidi baada ya mkopo kwisha. Mimi ambaye nimeshia kidato cha nne lakini nikahoji hapa jf kwamba huu utaratibu wa mchezaji kusaini mkataba mpya kabla ule wa mwanzo haujaisha tena kabla ya miezi 6 (kisheria) haijafika ni wa wapi.Nikasema Simba wameingia mkenge na kweli yametokea.KIONGOZI wa simba (rage) ni mbunge anaingizwa (anajiingiza) mjini na ngasa (std seven) .Knachosiktisha Rage ni "msomi" na yupo kwenye baraza la kutunga sheri (bunge).Katika taswira ya taifa naikumbuka mikataba ya dizaini kama hiyo ambayo imelicost taifa langu ,Pole TZ