jambo la kushangaza sana hilo..Frank Damayo na Sureboy maumbo yao ni madogo..Waganda waliwazidi nguvu..kiungo kilipaswa kuwa na wachezaji wenye nguvu..unapanga mchezaji kutegemea na adui unayekutana naye. Hata mimi ningepanga timu ingeshinda. Tatizo lingine ni golini..Kaseja amekuwa 'wa kawaida' sana..jamani hakuna kipa mwingine? Barthez sasa amemzidi kiwango kabisa..lakini mazoea yanatuletea shida sasa.
Wapi kitu inaitwa Chuji???kila siku Kazimoto tu...
kazimoto ni kiungo mzuri ila mpira nao unadunda hata kina xavi siku nyingine wanapwaya