Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,960
- 13,936
Chama cha Wachezaji wa Soka Tanzania (SPUTANZA) juzi kiwewatangaza wachezaji bora wa soka katika msimu ulioisha huku Amri Kiemba (Simba) akiwa mchezaji bora wa ligi msimu 2012-13,wengine Salum Abubakar- Azam mchrezaji bora chipukizi,kocha bora Mecky Mexime-Mtibwa, kipa bora Hussein Sharrif-Mtibwa. Cha kushangaza ni kuwa timu ambayo imetwaa ubingwa Yanga haikupata hata mchezaji mmoja katika categories zote hizo, hata kuwa shortlisted kwenye vipengele vingi hawakuta hata mchezaji.Timu amba imefungwa magoli machache kuliko zote inakosa hata golikipa wake Ali Mustapha 'Barthez' na kocha Bandts kuwa kwenye shortlist?Nadhani waandaaji hawakujipanga vilivyo kaika kuweka vigezo na uteuzi wake.