Ukinipatia filamu hii ntakushukuru sana!

obi's

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2011
Posts
233
Reaction score
40
jamani ndg zangu poleni na majukumu ya kutwa. Jamani kuna filamu moja ya ki nigeria inaitwa for better and for worse, imechezwa na emeka ike pamojana gennaviv naj, pia yumo yule mzee aliecheza na aki na ukwa. Nimeitafuta sana hii filamu bila mafanikio. Contact 0755645273. Nipo mwanza.
 
For better for War part 1 & 2 check YouTube nimeziona and for better for worse sijaiona
 
Naona aliyeomba hajarudisha feedback.
 
jamani ndg zangu poleni na majukumu ya kutwa. Jamani kuna filamu moja ya ki nigeria inaitwa for better and for worse, imechezwa na emeka ike pamojana gennaviv naj, pia yumo yule mzee aliecheza na aki na ukwa. Nimeitafuta sana hii filamu bila mafanikio. Contact 0755645273. Nipo mwanza.

Mwanza ya kenya au?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom