LIVE UPDATES:Taifa Stars Tanzania VS Uganda Cranes Uganda

WABHEJASANA

JF-Expert Member
Jun 22, 2011
4,225
869
Wakuu Leo Taifa Stars wanakipiga na Uganda Cranes ya Uganda kwenye uwanja wa Taifa Tuendelee kujuzana Live Updates kwa wale ambao tuko ndani ya uwanja wa Taifa.
 
Mods kama inawezekana naomba muunganishe hii post na ile ya kbm ambayo ndiyo ilikuwa ya kwanza kuwekwa humu Jamvini tafadhalini.
 
hatoi changamoto nzuri kwa upinzani ukizingatia anamwili unaotishIA

Huyu jamaa anapokuwa AZAM huwa anacheza na kuwatishia sana wapinzani,lakini anapokuwa Stars huwa hafunguki sijui ni kwa nini?!
 
wakuu mwenye Link atusaidie hapa maana sio wote tu access na Tv...
 
Back
Top Bottom