Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Wachezaji 7 wa junguni fc ya PBZ PL Zanzibar wasimamishwa kwa tuhuma za kubashiri matokeo
2 Reactions
6 Replies
532 Views
Dogo ana utoto mwingi sana. Kwa umri wake Messi alishaamua kuwa serious. Ila huyu namwona kama asipowahiwa kushauriwa anaweza potea mamoja. Ana michezo michezo mingi na kuanza kulewa sifa mapema...
26 Reactions
86 Replies
4K Views
Kweli akili ni mali, Nguvu kubwa inayotumika na mahujaji wa sanamu ya Rage ili tu kumkomoa na kuvunja record za Yanga, Laiti kama ingekusanywa na kuwekwa pamoja basi Marcel Alliende huyu hapa...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Niko Open University nasomea sheria huu mwaka wa saba sijagraduate Pamoja na ukilaza wangu nilishangaa Yanga walipoenda CAF kulalamikia goli la Aziz Ki kule South Africa,na ishu ya derby ya Simba...
8 Reactions
27 Replies
1K Views
Mashindano hayo yalianzishwa mwaka 1992 na kuigwa kutokana na Kombe la UEFA la Ulaya. Kombe hilo lilipatiwa jina la Moshood Abiola, mfanyabiashara, mchapishaji na mwanasiasa wa Nigeria, na...
1 Reactions
107 Replies
5K Views
Hili limenishtua sana. Tarehe ya fainali ya pili ya Simba vs RS Berkane ambayo timu inakabidhiwa kombe ni tarehe 25-05-2025. Mimi siyo mnajimu ila hizi namba kama zinakujakuja hivi. Embu ngoja...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuna wachambuzi na wanaharakati uchwara waliowalinganisha wachezaji wazawa na wageni Sasa wanaona aibu 1. Mayele vs George Mpole Hapa zilitumika nguvu kubwa kumsifu George Mpole Walitumika hadi...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Hizi habari kuwa Clement Mzize na Feisal Salum wanahitajika au wanaweza kuuzwa Ulaya sijui zinatoka wapi. Hawa wachezaji wamecheza kwenye ligi ya ndani kwa zaidi ya miaka 5 na walishafika peak...
3 Reactions
59 Replies
2K Views
Leo ndio leo Baada ya kuona kimya nikaona isiwe vibaya nianzishe Leo mechi itakuwa uwanja wa bwawani sijui gombani Kati ya timu tishio duniani ya dae es Salaam young afrika aka nyuma mwiko na...
9 Reactions
13 Replies
999 Views
Kuna video clip nimeiona jana ya mtu ambaye inasemekana ni Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Geita, anayejulikana kama Manjale akiitumia timu ya Simba na mafanikio yake kukinadi chama chake. Hii video...
1 Reactions
11 Replies
807 Views
Sioni kama kuna team ya kuwazuia mabibwa wa kihistoria. Team yenye kikosi kikali, kipana na cha kutisha. Nipigwe bani mirere kwa kweli ikitokea Yanga ikakosa hili kombe. Sioni ikilikosa. Sioni...
0 Reactions
15 Replies
744 Views
Mara nyingi utasikia watu wanasema "mpira una lugha yake" ila wanachoshindwa kutambua ni kuwa kushindwa kuelewa lugha fulani kunaweza kukupunguzia uwezo wa kuelewa maelekezo kwa haraka na ufasaha...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Nimeona inter Milan hamna uzi wenu alaf Leo mnacheza na Barcelona
3 Reactions
60 Replies
2K Views
Kila nikiwasikiliza mashabiki wengi wa mpira bongo wanavyoongea, kuandika, katika tambo na mabishano yao ya kimpira huwa nashindwa kuelewa kama vichwa vyao ni vizuri au kweli ni hisia na mahaba tu...
3 Reactions
38 Replies
1K Views
Waziri wa katiba na sheria Damas Ndumbaro amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kuisaidia timu ya Simba kufika hatua ya fainali katika michuano ya kombe la...
-1 Reactions
13 Replies
1K Views
Ule mtanange wa kukata na shoka Real Madrid Vs Fc Barcelona
4 Reactions
198 Replies
8K Views
Simba hii imekuwa ya kushangaza, ni Simba ambayo Sisi Wana Simba tumeyasikia mengi! Cha kushangaza, toka Tu uongozi ulipomtangaza kocha mpya NI Fadlu. Ukweli yalisemwa mengi ya kejeri nk. Eti...
2 Reactions
5 Replies
817 Views
Najua mahaba ni makubwa mno kiasi kwamba hawapendi kabisa kuambiwa ukweli, lakini wakati utaongea vizuri. Mechi ya fainali inaishia Morocco na kuna mtu anaenda kula kono la nyani Hii kitu ndio...
0 Reactions
6 Replies
431 Views
Back
Top Bottom