Ukiangalia mpira kwa mihemko utaona refa aliibeba Simba, lakini ukituliza fuvu ukaufuatilia kwa kutuliza fuvu hatua kwa hatua tukio kwa tukio, utaona wazi refa na wasaidizi wake walikuwa makini...
Mambo ya kushangaza na kustaajabisha kabisa hata kama ni kubebwa Lakini hii ni too much
Mashujaaa FC wamezurumiwa wazi kabisa na Refa aliyechezesha Mchezo dhidi ya Simba SC na Mashujaaa.
Dakika...
Ubaya ubwela,mchezaji wa mashujaa ambaye jina lake linaanza na herufi M ameangua kilio hotelini baada ya bajeti yake ya kununua kiwanja kuota mbawa
Wakati akilia ghafla alipokewa na wenzake...
Ndugu zangu wapendwa; naomba kuchukua nafasi hii muhimu kabisa, kuwakaribisha kwenye viporo vyetu. Hakika vitaanza kuliwa kuanzia keshokutwa tarehe 02/05/2025. Na kila baada ya siku 3, kiporo...
Kama huridhiki na TFF, waamuzi, mashabiki, wananchi,serikali,jirani yako,nduguyo,mumeo,rafikiyo,mtotoyo,mzaziyo.
Yanga tuna wanasheria wazuri waone watawaandikia barua CAS utapata haki yako...
Hamna wanasheria ambao hawajitambui na hawana uwezo kama wa Yanga. Hivi Timu ya Yanga haiwezi kuwafukuza wote na kuweka wanasheria wanaojielewa na wenye uweledi. Yanga ni klabu kubwa barani Afrika...
Ktk masiku ya hivi karibuni wananchi ni kama tunaburuzwa hapa jukwaani, yaani hakuna amsha amsha kabisa kiasi cha kuwa wanyonge sana. Hakuna kitu tunajivunia na kutamba nacho mbele ya Makolo japo...
Utani si ugomvi, hebu mpongeze mtani wako kwa hatua aliyofikia.
Ikibidi mtag kabisa hata mmoja Kisha ipongeze team yake kwa hatua ya fainali ilofika.
YANGA yupo fainali muungano. SIMBA yupo...
Habari zenu wanajamvi...
Bila kupoteza muda naomba anaefahamu shule na vyuo alivyo soma wakili Patrick Simon anijulishe.
Nataka nifanye tafiti binafsi kuhusu taaluma yake.
Simba Oye! Rais wa Heshima Dewji Oye..Wazee wafupi wa kazi Oye! Fadlu Oye!
Simba SC inaogelea kwenye pesa msimu huu haswa upande wa kimataifa.
Hongera kwa viongozi, benchi la ufundi, wazee...
Klabu ya Yanga ya Dar es Salaam imeshindwa kwenye kesi yake ya awali iliyoifungua kwenye Mahakama ya Usuluhishi Michezoni (CAS).
Yanga SC katika kesi ya msingi ikiyoifungua dhidi ya TFF, Bodi ya...
Rasmi Yanga ni Mabingwa 2025 na Mabingwa mara nyingi zaidi wa kombe hili la Muungano. Napenda kuwakumbusha Viongozi, Wanachama wapenzi na mashabiki wa club hii kubwa zaidi Afrika Mashariki...
Wachezaji wa Kikosi cha Mashujaa FC wamewekewa kiasi cha shilingi millioni 100 kama wataifunga Simba SC katika mchezo wa ligi kuu ya NBC ambao utachezwa Ijumaa Mei 2.
Wachezaji hao wameahidiwa...
Najiuliza hili swali nikijua ligi ya Bara ni bora kuliko ya Zanzibar na pia kwa viwango ipo kwenye ligi 5 bora Afrika.
Sasa kama hizi timu zilizopo kwenye ligi bora zinapigwa goli nyingi kila...
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Nimeona serikali ikisema kubeti kuanzia ni miaka 18+.
Sasa miaka 18+ niwazee hao na sisi vijana wa miaka 17- tunaitaka hii fursa ya mama samia ya kucheza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.