Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Yanga mna ruhusa zote kubeba makombe yote ya ndani Ligi kuu, FA na hilo la Muuungano. Hayo makombe ya ndani yapo tu wala hayana stress, Simba tujikite na kombe la kimataifa ikiwezekana hata huko...
12 Reactions
19 Replies
990 Views
Habari za kwenu waungwana? In short niwe straight kwenye subject ni kwamba nina shida ya pesa ninayohitaji kwa haraka (kutokana na tatizo ambalo mm niko nalo kwa sasa) lakini pia hua naamini sana...
8 Reactions
52 Replies
13K Views
Ni ukweli usiopingika kwamba viwango vya timu nyingi zinazocheza shirikisho ni dhaifu ndio maana zinachukuliwa zilizoshika nafasi za 3 na 4 kwa maana ni zile zisizojiweza! Lakini mashabiki Hawa...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Ule msemo wa uchawi aupandi ndege inawezekana ukaja kutimia kule bondeni kwa madiba! Simba pamoja na kuwa kwenye uwanja wake wa nyumbani na kufanya Kila aina ya ushirikina bado wamepewa mechi...
8 Reactions
89 Replies
4K Views
Nimeona kuna watu wanachanganya mambo katika hili, CAF 5 year ranking inatumika tu kwaajili ya mashindano ya CAF na point hutolewa kwa kuzingatia mashindano yote mawili yaani klabu bingwa na...
3 Reactions
40 Replies
4K Views
Nasikia uko mbioni kukamilika wote, hivyo GENTAMYCINE kama mwana Yanga SC lia lia naomba kujua ulikofikia kwa sasa.
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Mungu ibariki Simba Sc nzima Heshima kwa wachezaji wote, bench la ufundi, uongozi na mashabiki dunia nzima, mmetuheshimisha sana. Pamoja na timu nzima kutupeleka fainali lakini wapo watu ambao...
26 Reactions
108 Replies
5K Views
Mwamba anastahili pongezi kubwa sana! 🧤
7 Reactions
23 Replies
1K Views
Mimi ni Simba SC damu damu ila labda tu uwe ni Mpumbavu, Mshamba na huujui Mpira na wala hujaucheza pia ndiyo yo utaweza Kukataa kuwa yale Matukio yote Makubwa mawili yaliyopelekea Mwamuzi kutumia...
5 Reactions
94 Replies
4K Views
Aina ya ule upotezaji wake wa Muda kuna mahala ulikuwa unaonekana kabisa kuwa alikuwa akiitafuta ama Kadi ya Njano au Nyekundu kwa lazima ili labda Timu idhoofike au asicheze Fainali ya CAFCC kama...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Simba atabaki kuwa Simba kwenye michuano ya kimataifa na yanga wazee wa ndondo cup watabaki kuwa yanga. Kosa kubwa hapa yanga wanataka kuifananisha timu yao na Simba kwenye mafanikio ya kimataifa...
12 Reactions
77 Replies
3K Views
Katika hatua ya fainali mechi mtakayoshinda, goli moja, goli la mama ni shilingi milioni 30” maneno ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Wakuu kama mnavyojua Kuna kombe la kukata na shoka huko zenji Sasa update za nusu final naona bodi ya ligi hawatoi naomba kujua inafanyika lini kwa Azam vs KMK na Yanga vs Jku !?
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Mimi kama mzee wa za ndaaani, nimepata taarifa kuwa kikosi cha Simba kikiwasili leo wana mipango ya kwenda moja kwa moja makao makuu ya Yanga pale Jangwani. Wachezaji wa Simba wameshaandaliwa...
2 Reactions
3 Replies
491 Views
Baada ya kuwacharaza Senegal 3-1 na kuongoza Group letu, leo tunakipiga Semi Final. Dada na mama zetu wanaendelea kutuwakilisha uko leo wakicheza na Cameroon. Kikosi chetu hiki hapa: Tumeshinda...
8 Reactions
86 Replies
3K Views
Kusije kuwa tena na visingizio tarehe ikifika na kulazimika kuipeleka mechi kwingine.Maandalizi na marekebisho yafanyike sasa na ikiwezekana uwanja ufunikwe kwa turubai hizi mvua zisiuharibu na...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Aliyekuwa akituchelewesha ni Aishi Manula kumbe Thank You
4 Reactions
18 Replies
924 Views
Kuna Watu hapa JamiiForums ni Wapumbavu (Mapopoma) hadi basi. Hivi unajijua kabisa Wewe ni mwana Simba SC na unajulikana hapa lakini kwa CHUKI ZAKO TU ZA KISIASA (za CHADEMA na CCM) unaiombea...
2 Reactions
11 Replies
825 Views
Simba imepiga mpira mkubwa sana pale algeria tena kwenye mazingira magumu ya mvua na baridi uwanja kuteleza. Mwalimu amepanga kikosi vizuri kabisa kwa mipango simba ilicheza kwa kujiamini magoli...
11 Reactions
72 Replies
3K Views
Ndo maana shirikisho ni mashindano madogo yaani hakuna bingwa wa nchi yoyote anayecheza haya mashindano ya kitoto Leo nimetazama mchezo wa Simba dhidi ya Stellenbosch, ni kituko tu ni kama ndondo...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Back
Top Bottom