Yani Yanga wanavyolalamika utaweza kusema wao hawajawahi kubebwa hata siku moja. Tena mbaya zaidi wao bila aibu walibebwa kwenye derby.
Ninaamin km ndio Simba angebebwa vile basi hawa Yanga...
Toka day one ya sakata la derby na hatua ya Yanga kupeleka kesi CAS nilikuwa nahoji mara kwa mara inakuwaje unapeleka kesi ya rufaa wakati hauna nakala ya hukumu ya awali, nikajibiwa kwa jazba na...
Hili ni tukio moja katika mengi yaliyofanywa na Mashujaa katika kupoteza muda.
Imagine huyu ni mchezaji na kamuongopea refa kuwa ameumia na kumtaka refa aite medical team uwanjani.
Halafu jamaa...
🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐔𝐏🔰
🏆 #CAFCL
⚽️ Young Africans SC🆚CR Belouizdad
📆 24.02.2024
🏟 Benjamin Mkapa
🕖 1:00 Usiku
Kikosi kinachoanza dhidi ya CR Belouizdad
Mpira umeanza
Dakika ya 1
Dakika ya 5
0-0
Dakika ya...
Gusa. Achia. Twenda kwao.
Ni ligi ya mabingwa Afrika, Yanga wakiwa nyumbani watawakaribisha MC Alger katika mchezo wa mwisho wa makundi.
Ni mchezo ambao Yanga atahitaji kushinda ushindi wa aina...
Labda kama wewe sio mjuzi wa Sheria za soka.
Peneti ni moja ya adhabu zinazotolewa kwa mchezaji akimchezea vibaya mchezaji mwenzie ndani ya penati boxi.
Kuna njia moja TU ya kuzuia penati,nayo...
🏆 #CAFCL
⚽️ Young Africans SC🆚Al Hilal
📆 26.11.2024
🏟 Benjamin Mkapa
🕖 10:00 Jioni
Kikosi kinachoanza dhidi ya Al Hilal
Dakika ya 5
Mpira Umeanza
Dakika ya 10
Yanga SC wanakosa nafasi ya...
Tarehe 22/06/1986 Diego Amando Maradona alifunga goli kwa mkono dhidi ya timu ya Uingereza.
Goli hilo alilofunga dhidi ya Kipa mahiri wa England zama hizo Peter Shilton, mpaka leo limeacha gumzo...
Mechi ya Namungo Vs Dodoma Jiji ilipaswa kuwa ya mwisho huyu binadamu kuchezesha. Amechezesha zaidi ya Mechi 7 Kwa kiwango kibovu lakini bado Mamlaka zinamfumbia macho. Coastal, KMC, Tabora Utd...
Baada ya kelele za wadau wa michezo ikiwa ni pamoja na wabunge hatimaye Waziri Mwakyembe amelivunja rasmi Baraza la Michezo Tanzania.
BMT ilikuwa chini ya uongozi wa Ndg.Dioniz Malinzi.
----
In...
1. Mwamuzi Kefa Kyombo ndo alimaliza mpira mechi dhidi ya Simba na Coast union kwenye sare ya 2_2
Coast union walikuwa kwenye shambulio la kufunga goli, katika hali ya kustajaabisha Kefa Kyombo...
Si mama kwenye ukweli pasipo na ushabiki, wewe unaepinga Jana refa kuongeza DK 15, tueleze wewe ulizihesabu NI DK ngapi zilipotezwa na pia lile tukio la ubishi WA kado nyekundu Kwa kipa ndio...
Jana nilishuhudia mechi baina ya timu ya Simba dhidi ya Mashujaa. Binafsi niliona kama timu ya Simba ikibebwa kwa asilimia 100. Iweje Refa anazidisha muda kiasi kile ili hali muda uliopangwa wa...
Baada ya klabu ya Yanga Sc kuangukia pua kwenye kesi yake dhidi ya Shirikisho la soka Tanzania TFF, Bodi ya Ligi na klabu ya Simba Sc, Mkuu wa Kitengo cha Sheria klabuni hapo, Simon Patrick...
Nimecheki hii orodha baada ya Kusikia Mwamuzi Kepha Kayombo amechezesha mechi nyingi za Simba Sports
KEPHA KAYOMBO. Amechezesha Mechi hizi za simba Sports
Vs Jkt Tanzania
Vs Coastal Union
Vs...
Tulishatoa ushauri humu kwamba mtengeneze umoja wenu..na ikiwa itawafaa msusie kuendelea na michezo ya ligi iliyosalia hadi mtakapohakikishiwa michezo yenu itachezeshwa kwa haki kwa level sawa na...
Kama kuna timu imejifunga goli leo ni Mashujaa FC. Dakika za mwanzo wamegeuza uwanja kuwa sinema ya kuchelewesha mpira—kipa analala juu ya mpira, mabeki wanatembea kama wanaenda sokoni, na kocha...
Watu wote isipokuwa wawili tu ndio wenye akili huko timu makayabo.
Sijawahi kuona timu ambalo mtu wao akisema uongo wa kuwa feva watu wote waunakili unakuwa sehemu ya kauli zao.
Mfano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.