Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Geraldo Martino aka Tata ametangazwa hivi punde kuwa Kocha Mpya wa Barcelona. Anamrithi Tito Vilanova..More to come
0 Reactions
1 Replies
832 Views
Sasa imethibitishwa rasmi kuwa kocha wa barcelona amejiuzulu ili akabiliane na tatizo la kansa kwa kuendelea na matibabu. The barcelona coach Tito has resigned to fight for cancer treatment.kila...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Shabiki la MANYOO lililikiona cha moto baada ya kuvamia eneo la mashabiki ya CHELSEA...akavuliwa GAMBA lake
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa nini kila ukimsajiri nahodha wa Arsenal lazma mwaka 1 baadae kocha uachie ngazi? Kaanza VIEIRA kwenda juventus CAPELLO OUT kafuata HENRY kwenda barcelona RIJKAARD OUT akaja GALAS kwenda...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Twendeni tukaone vifaa vyetu leo,bila kusahau jembe jipya la ushambuliaji kutoka Nigeria na linaloliliwa na Wareno(Ogbu Brendan)
1 Reactions
142 Replies
12K Views
mwenyekiti wa simba mh. Mbunge Aden Rage alisema hayo jana katika mkutano mkuu wa simba uliodumu kwa saa moja Rage'' serikali yangu ya chama cha mapinduzi imewachukua miaka 50 kujenga uwanja wa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Saturday, July 20, 2013 Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage akifafanua jambo wakati wa Mkutano Mkuu wa Simba wa kujadili maendeleo ya klabu hiyo ulioanza saa nne kamili na kumalizika saa tano...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
mpira we2 wa Tanzania kuwa na mafanikio ni ngumu xana, 2na dhambi kubwa wala ha2ijali kuitubu, kuwatenga waZANZIBAR et wao wana ligi yao na sis yetu afu Timu ya Taifa hamna mchezaj...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Salam Ndugu Wanasport. Kufuatia marekebisho ya katiba ya TFF hivi karibuni leo kamati ya Utendaji imetangaza majina ya wateule mbalimbali katika kamati hizo. Miongoni mwa wateule hao ni Jaji...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hiv kwanin tuendelee kulia na tatizo la uhaba wa washambuliaji wakt inaonekana ni janga la kitaifa! TFF hiv kwann tusifanye umafia wa kuishawish serikali itoe urai kwa wachezaji wa kigen ambao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Klabu ya simba imekuwa katika mwenendo mbovu katika msimu uliopita na mpaka sasa,tatizo kubwa ni uongozi uliopo madarakani ukiongozwa na mwenyekiti Rage.Amekuwa mtu maneno mengi pasipo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nasikia simba katangulia kwa goli moja mliopo taifa matokeo tafadhari na kesho ni Yanga SC wanacheza nao..
0 Reactions
36 Replies
8K Views
Hivi ni kwanini mashindano haya ya african cup of nation,world cup na euro hapa tanzania hayaonyweshi kwenye tv za bure kama itv,startv,tbc?? Kwa nchi kama England mashindano haya yanaonyeshwa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wadau mliopo uwanjani mtujuze matokeo ya mechi ya kirafiki kati ya simba na ura
0 Reactions
1 Replies
1K Views
baada ya kushinda tenda ya kuonesha ligi kuu tanzania..baada ya kuishinda super sports ya afrika kusini kila timu kupewa mil 100.... NB:kumbe azam tv wako vzr zaidi ya super sports..? kwa maana...
0 Reactions
23 Replies
8K Views
Yanga baada ya kufanya vibaya katika mechi za majaribio huko Kanda ya Ziwa, yaamua kujipima nguvu na timu isiyojulikana katika Ramani ya Soka kutoka Nigeria, kwa tetesi zilizopo ni kwamba ni timu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wanachama wa kilabu cha samba wamekumbuka shuka kumekucha. Wajameni wenzenu tumecheka kweli , tunawacheka wanachama wa Kilabu cha mnyama yaani SSC kwani wanafunga zizi ng`ombe waliisha ibiwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mchezaji wa Simba sports club anyimwa pesa ya matibabu ya goti,Ni Kigi Makasi,Ilikua akatibiwe India,lakini baada ya kuona danadana za uongozi wa Simba zinazidi ameamua kutimkia kwa waganga wa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Masaa 48 yajayo kiungo wa Barcelona Fabrigas atamwaga wino kutumikia MAN U,wakati huo huo kocha wa Barcelona Tito Vilanova(44)amefunguka kwamba anaachia ngazi kuinoa timu hiyo kutokana na maradhi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
amazulu yaichapa city 2-1
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…