Zindiko Yanga Na Simba; Watu Wazimi, Mmoja Afa

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
[h=1]ATU WAZIMIA VIBAYA LEO TAIFA, NI MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA WOTE...ILIKUWA BALAA[/h] Home » Unlabelled » WATU WAZIMIA VIBAYA LEO TAIFA, NI MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA WOTE...ILIKUWA BALAA
[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: left"]Shabiki mwingine aliyezimia[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: left"]Shabiki wa Simba SC akiwa amezimia wakati wa mapumziko, timu yake ikiwa imelala 3-0 mbele ya Yanga SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Hata hivyo, Simba SC ilisawazisha mabao yote kipindi cha pili na kupata sare ya 3-3. Watu zaidi ya 10 walizimia leo, wakiwemo mashabiki wa Yanga pia.
​

​

​

​

​

​

​
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
​
 
Inasemekana yule aliyefunikwa shuka jeupe alifariki muda mfupi baadae
 
ajabu sana kwa Yanga, siku ya 5-0 walizimia wao, jana wanaongoza 3-0 wanazimia wao
 
Huku uswazi kwetu, walizika mbuzi
 
nashangaa kila Tawi linaloga, mechi moja wachawi zaidi ya 100
 
Mie naipenda Yanga, ila sasa Simba na Yanga kama ndo watakuwa wanatumia mazindiko kucheza mpira itabidi hizo timu zote mbili nianze kuzichukia, nafikiri wa waliokuwepo uwanjani jana au kuangalia kwa luninga, kulikuwa na kila dalili za ushirikina, Kwa mpira walioonyesha Yanga kipindi cha kwanza ulikuwa mkubwa mno

Lakini ghafla baada ya mapumziko walianza kwa kupoza kabisa si kiuchezaji tu pia kiakili kwa anayejua kutumia saikolojia vizuri ataungana nami

Lile la kuzimia watu mimi naliona la kawaida kwa sababu mtu furaha ikimzidi sana au upande wa pili mtu akiuzunishwa sana BP zinapanda au kushuka na hivyo inaweza kupelekea mtu kuzimia
 
ushirikina na soka la bongo, ni kama Wema na Diamond.
 
hapa sio KAMA mkuu, mimi ni shuhuda wa UCHAWI huu, nilifuatwa nitoe 4000 za mganga
Mie naipenda Yanga, ila sasa Simba na Yanga kama ndo watakuwa wanatumia mazindiko kucheza mpira itabidi hizo timu zote mbili nianze kuzichukia, nafikiri wa waliokuwepo uwanjani jana au kuangalia kwa luninga, kulikuwa na kila dalili za ushirikina, Kwa mpira walioonyesha Yanga kipindi cha kwanza ulikuwa mkubwa mno

Lakini ghafla baada ya mapumziko walianza kwa kupoza kabisa si kiuchezaji tu pia kiakili kwa anayejua kutumia saikolojia vizuri ataungana nami

Lile la kuzimia watu mimi naliona la kawaida kwa sababu mtu furaha ikimzidi sana au upande wa pili mtu akiuzunishwa sana BP zinapanda au kushuka na hivyo inaweza kupelekea mtu kuzimia
 
viti vya bunge vilikutwa na damu sembuse Simba na YANGA?

Mashabiki wa Simba wakiwa wamembeba mwenzao baada ya kuzimia kisa Kiiza kushinda goli la 3 huku timu yao ikiwa haina kitu kipindi cha kwanza.
Na Mwandishi Wetu
Habari zilizotua mezani kwenye House of Media iliyopo maeneo ya Kawe kwenye Jengo la K-Net House floor ya 5 zinaema mzee mmoja maarufu nchini ambae ni shabiki wa timu ya Simba aliyefahamika kwa jina la Ramadhani Mbande " Kindalindali" amefariki dunia jana maira ya saa kumi na moja na dakika 40 baada timu yake kufungwa magoli 3 bila kipindi cha kwanza.

Akiongea na Xdeejayz mmoja wa majirani wa mzee huyo mkazi wa Kigogo njiapanda ya Tabata Jijini Dar alisema mzee huyo alikuwa nyumbani akitizama mpira huyo pamoja na mwanae wa mwisho uliokuwa unarusha kupitia TBC1 kupitia Azam TV na baada ya mshambuliaji nyota Hamisi Kiiza Diego kuifungia timu yake magoli hayo mawili na kufanya kufikia idadi ya magoli matatu kwa mtungi hadi mapumnziko.
Chanzo cha Xdeejayz kiliendelea kusema kuwa baada ya goli la tatu mzee ghafra alidondoka na kupoteza fahamu na baadae alikimbizwa Hospitali ya Amana na huko ndiko umauti ulikomfika. Hata hivyo mwili marehemu utasafirishwa leo kuelekea kijijini kwao Mang'ura Mkoani Morogoro.

Hata hivyo wakati wa tukio hilo likiendelea timu ya Simba jana ilifuta uteja kwa Yanga baada ya timu hizo kukutana msimu wa mwaka jana na Yanga kubamiza Simba goli 2 kwa bila na jana pia Simba waliponea chupuchupu baada ya kurudisha kwa shida magoli matatu aliyokuwa ameshafungwa na Yanga.
 
DADA SHABIKI WA SIMBA APOTEZA UJAUZITO UWANJANI KWA MAGOLI YA KIIZA!
Dada mmoja ambae hakufahamika nae alijikuta anapoteza uja uzito wake baada ya mshtuko wa timu yake kufungwa magoli ya harakaharaka na Yanga hadi timu hizo zinakwenda mapunziko Yanga ilikuwa imeikandamiza Simba goli 3 kwa mtungi.
Habari za uhakika zilizonaswa na mapaparazi waliokuwa wamesambaa uwanja mzima ulishuhudia dada huyo akisitiliwa na watu wa mslaba mwekundu na taarifa zilizokuja baadae zilisema kuwa dada huyo alikuwa na ujauzito wa miezi miwili na uliharibika hapo hapo kwa presure!
 
Akizungumza baada ya mechi hiyo ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Kibaden alisema kwamba anashukuru kupata sare na anawaheshimu, Yanga kwa kucheza vizuri kipindi cha kwanza na vijana wake kwa kucheza vizuri kipindi cha pili.
[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: left"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: left"]Ningewafunga zidi ya tatu; Kocha wa Simba SC Abdallah Kibadeni kushoto akiwa Msaidizi wake, Jamhuri Kihwelo kulia.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
...................mimi nimezaliwa Tanzania, mpira wa Tanzania naujua, mpira unachezwa ndani, mpira unachezwa nje.............................-King Kibaden
 
ATU WAZIMIA VIBAYA LEO TAIFA, NI MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA WOTE...ILIKUWA BALAA

Home » Unlabelled » WATU WAZIMIA VIBAYA LEO TAIFA, NI MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA WOTE...ILIKUWA BALAA
[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: left"]Shabiki mwingine aliyezimia[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: left"]Shabiki wa Simba SC akiwa amezimia wakati wa mapumziko, timu yake ikiwa imelala 3-0 mbele ya Yanga SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Hata hivyo, Simba SC ilisawazisha mabao yote kipindi cha pili na kupata sare ya 3-3. Watu zaidi ya 10 walizimia leo, wakiwemo mashabiki wa Yanga pia.
​

​

​

​

​

​

​
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
​

Usanii bwana. Yaani 2013 watu bado wanapenda huu mpira usio na maendeleo?
 
Mashabiki wa Simba wakiwa wamembeba mwenzao baada ya kuzimia kisa Kiiza kushinda goli la 3 huku timu yao ikiwa haina kitu kipindi cha kwanza.
Na Mwandishi Wetu
Habari zilizotua mezani kwenye House of Media iliyopo maeneo ya Kawe kwenye Jengo la K-Net House floor ya 5 zinaema mzee mmoja maarufu nchini ambae ni shabiki wa timu ya Simba aliyefahamika kwa jina la Ramadhani Mbande " Kindalindali" amefariki dunia jana maira ya saa kumi na moja na dakika 40 baada timu yake kufungwa magoli 3 bila kipindi cha kwanza.

Akiongea na Xdeejayz mmoja wa majirani wa mzee huyo mkazi wa Kigogo njiapanda ya Tabata Jijini Dar alisema mzee huyo alikuwa nyumbani akitizama mpira huyo pamoja na mwanae wa mwisho uliokuwa unarusha kupitia TBC1 kupitia Azam TV na baada ya mshambuliaji nyota Hamisi Kiiza Diego kuifungia timu yake magoli hayo mawili na kufanya kufikia idadi ya magoli matatu kwa mtungi hadi mapumnziko.
Chanzo cha Xdeejayz kiliendelea kusema kuwa baada ya goli la tatu mzee ghafra alidondoka na kupoteza fahamu na baadae alikimbizwa Hospitali ya Amana na huko ndiko umauti ulikomfika. Hata hivyo mwili marehemu utasafirishwa leo kuelekea kijijini kwao Mang'ura Mkoani Morogoro.

Hata hivyo wakati wa tukio hilo likiendelea timu ya Simba jana ilifuta uteja kwa Yanga baada ya timu hizo kukutana msimu wa mwaka jana na Yanga kubamiza Simba goli 2 kwa bila na jana pia Simba waliponea chupuchupu baada ya kurudisha kwa shida magoli matatu aliyokuwa ameshafungwa na Yanga.
Sidhani kama Simba walipata shida kurudisha magoli maana timu yangu ya Yanga baada ya kushinda tatu, waliondoka kabisa uwanjani wakifikria mipesa waliyoahidiwa, ningekuwa kiongozi ningewakata mishahara wote walioicheza, aibu sana kitendo cha jana
 
una ushahidi gan kwamba amekufa kutokana na zindiko???unafaa kuisaidia police
 
Back
Top Bottom