Ahsanteni ghana ...waarabu si waafrika

Ahsanteni ghana ...waarabu si waafrika

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
8,097
Reaction score
10,945
Nimefurahishwa sana na ushindi wa Ghana dhidi ya Waarabu!Afrika kuwakilishwa kombe la Dunia na Waarabu haijatulia!
 
Ghana hureee
wamestahili maana wameinyesha kiwango bora
hata uchezaji wao ulionekana kuwa wazi vijana
wao wanaosakata soka ng'ambo wako juu sana.
 
Heeeheeeheeee! wewe mtoa mada ni mtata sana... Ila hauko mbali na ukweli.
 
Lini waarabu walikuwa waafrica??
Morroco, misri nani kaona ngozi nyeusi kule kwenye timu zao
mijitu myeusi kwa kujipendekeza

safi ghana japo najua watakapoishia
 
Ghana wamenichefua sana, wangepiga 9 -0, heshima iwepo
 
Nimefurahishwa sana na ushindi wa Ghana dhidi ya Waarabu!
NAOGOA SANA WATU WENYE MTAZAMO KAMA WAKO. KWASABBU ULIKUA UKIANGALIA MPIRA HUKU MOYON UPO KWENYE RACE DISCRIMINATION. MBAYA ZAID UKIZAMA SANA UTAJUA HAKUNA MWAFRIKA, WALA M-TZ, NDO HAPO UTAKAPOENDA MPAKA KUBAGUA KABILA. SORRY FOR YOU. SHAME ON U
 
Ili uwe muafrika unatakiwa uwe rangi gani au dini na madhehebu gani? Mm nakuona ww uko nyuma sana mpaka leo hii unazungumzia rangi ya mtu. Ivi rangi ya mtu inapatikana wp mpaka mtu ujivunie rangi yake? Mm najua mtu anajivunia kitu alichokitafuta yeye mwenyewe kwa nguvu na akili yake.nadhani hao misri wangecheza na ujerumani ungekuwa upande wa ujerumani kwa kuwa unalo lingine linalo kusuguwa.
 
Nimefurahishwa sana na ushindi wa Ghana dhidi ya Waarabu!
NAOGOA SANA WATU WENYE MTAZAMO KAMA WAKO. KWASABBU ULIKUA UKIANGALIA MPIRA HUKU MOYON UPO KWENYE RACE DISCRIMINATION. MBAYA ZAID UKIZAMA SANA UTAJUA HAKUNA MWAFRIKA, WALA M-TZ, NDO HAPO UTAKAPOENDA MPAKA KUBAGUA KABILA. SORRY FOR YOU. SHAME ON U
mwenywewe ....huo ndio ukweli meza /tema utajua mwenyewe .....Waarabu sio waafrika kama ambavyo Wahindi ni Wahindi tu hata wakikaa Kisutu!
 
Back
Top Bottom