Goast Goal - Hili lingelitokea AFRICA......

Goast Goal - Hili lingelitokea AFRICA......

Sikonge

Platinum Member
Joined
Jan 19, 2008
Posts
11,635
Reaction score
6,238
[h=1]Hoffenheim demand replay after Leverkusen's 'ghost goal'[/h]
_70578187_kiesslinggoalone.jpg



Hoffenheim are set to protest against a freak goal awarded to Bayer Leverkusen when Stefan Kiessling headed the ball through a hole in the side of the net.

Referee Felix Brych failed to spot that Kiessling's header flew wide of the post in the 70th minute of Leverkusen's 2-1 Bundesliga win on Friday.
Hoffenheim managing director Alexander Rosen said: "It's a scandal.
"That was no goal, there are no two ways about it. We are definitely going to protest."

Read: BBC Sport - Hoffenheim demand replay after Leverkusen's 'ghost goal'

Video: Bayer Leverkusen ghost goal very bizzare - YouTube

Maoni yangu: Haki ya nani, hili lingelitokea Africa, wangelitucheka hadi basi tu. Ila ndiyo limetokea German ambako zaidi ya kuonyesha kama TUKIO, hakuna anayesimama na kuanza kukandia kuwa "hatimaye German nao wanaanza kufanya mambo kitoto." Yaani timu kubwa hizo zinacheza na NET inatundu kubwa tu hadi mpira unaingia ndani ya NET? Sasa ungeliingia na kutoka nje sijui wangelisema siyo goli? Kweli Africa tukaze Buti maana jamaa si miungu kama tunavyowaona.
 
kwa kasi ya mchezo hata mm sikuambua kitu
 
Refa lazima angepigwa tuuu... Maana huku watu wamechoka.
 
Kweli hilo ni "Goast" goal!ila ndugu kwakweli hata mie. ningesema mpira kati!we siunaona si mlinda mlango wala walinzi wa nyuma waliostukia kuwa mpira umepitia kwenye wavu wa pembeni.
 
wenzetu wastaarabu wamegundua makosa hiyo gemu inapigwa tena, aliyefunga/akufunga anasema hiyo siyo fair play, kwahiyo ngoma itapigwa tena, wenzetu wako mbaliii
 
Tatizo siyo kasi ya mchezo. Tatizo ni kuwa kabla ya mechi, huwa wanakagua Nyavu kama ni nzima na hazina matundu. Sasa hawa jamaa kwa nini hawakufanya hivyo? Na kama walifanya, walifanya ki CCM?
kwa kasi ya mchezo hata mm sikuambua kitu
 
Goast goal!!!??!!¿¿¿ duh hii kali.
 
Back
Top Bottom