AzamTv kama Supersport vileee!!!!

AzamTv kama Supersport vileee!!!!

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,700
Reaction score
4,126
Kiukweli AzamTv wamejitahidi angalau, ukilinganisha na Tv zingine hapa tz.
Kwa upande wangu hawa jamaa wamethubutu hasa katika kuchukua picha uwanjani, picture mixing, uwekaji wa sijui niite notification katika screen mfano lebel ya timu gani zinacheza katika screen, ball possession, n.k

wanaonyesha kweli wameamua kuleta mageuzi ya kidigital.
 
Wadau waliibeza sana ngoja ianze sijui Wataficha wapi sura zao
 
TBC bila iabu wamepandikiza nembo yao kwenye screen. Bure kabisa.
 
Azam TV ipo wapi ?mimi naona ni TBC ndio inaonesha
 
ukweli hii Tv imeleta mapinduzi makubwa sana kwenye soka la Tz, ubora wa matangazo, picha, mitambo, professionalism, nk bado tu kidogo watakapoacha kutumia TBCccm na waandishi kuuvaa kimichezo na iwapo itakuwa inamfikia mzalendoo asiye na uwezo wa ving'amuzi
 
Tungeshukuru Azam Media warekebisha au kutengeneza webiste yao, iwe mfano wa skysports news au supersport, angalau tuweze kusoma news hata kuangalia mpira live! Kwa kutumia live streams live...

Kudos Azam Media
 
AzamTv safi sana
Niliona Nahodha wa Timu ya Magamba hakuhojia na AzamTv sijui ndiyo mgomo wao.
 
Startimezzzzzzzzzzzz******* hawana chao pale yaaaaaani full kupigwa chini kisports.Takwimu zangu tu za juu juu zinaonyesha watz kibao macho na midomo yao ni azam tv.
 
kwa mara ya kwanza sijajutia kuangalia Soka la Bongo kwenye TV...
 
Back
Top Bottom