Ticket uwanja WA Taifa ni tatizo lisilo na mfano,Nilishindwa kununua. mapema jana so nikaenda mapema kwa lengo la kupata ticket lakini nimeshindwa kabisa kwan kwenye gari ni kuanzia 20,000/ na zile za magumashi ni 7000/ kwa 15000/???Nimerud home kwa masikitiko makubwa!!Ningependa kuwapa taarifa mapema but tatizo la jf ndio kidogo limenichelewesha!Tff wanakera sana ticket kwenye magar hakuna but mikononi zipo kwa bei wanazotaka wao