ViTuKo ViLivYotOKeA wEeKeND Hii kAtiKa MiChEzO DuNiANi.

ViTuKo ViLivYotOKeA wEeKeND Hii kAtiKa MiChEzO DuNiANi.

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,700
Reaction score
4,126
Weekend hii ilikua na vituko sana katika
sport watu wamevunja record za ajabu na
watu wametoa kali za ajabu hebu angalia
Steven Geral juzi alitimiza goli la 100 ndani
ya EPL lakin hajawahi kubeba hilo kombe
Simba imekua timu ya kwanza Tanzania
kwa karne ya 21 kuweza kuchomoa magoli
matatu ndani ya dakika 45.
Man U . wakati wa SAF kila sub ilikua
inazaa matunda lakini wakati wa Moyes
kila SUB ni kufungwa.

MENGINE ONGEZEA WEWE
 
Simba hatari sana ilibaki kidogo wapate goli
la nne Yanga waliziba nyuma wengi sana.
 
Hii habari ipo CNN, BBC, Sky News kila kona juu ya Simba kuchomoa
 
Bado yanga wapo juu.
Nini kandambili alichozidi, maana ukipiga tathinini, mechi ambazo simba amepata point moja, na kandambili nae kapata hizo hizo. Na jana sale amezidi wapi kandambili.
 
Back
Top Bottom