Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Simba mapema ameshapost cover Instagram kuwa tarehe ya Darby imetangazwa, YANGA haja post je Viongozi wa Yanga wataleta timu uwanjani. #UbayaUbwela
0 Reactions
2 Replies
498 Views
Kipa wa FC Barcelona, Wojciech Szczesny, amesema anasubiri mwongozo wa Mkewe na Familia yake kabla ya kusaini Mkataba mpya wa kuendelea kubaki Klabuni hapo au kuondoka. Kipa huyo wa zamani wa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Mgeni rasmi kwa niaba ya Mhe. Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Maxwell Stanslaus akiongea kwenye hafla ya ugawaji wa jezi kwa timu 8 zilizofanikiwa kutinga hatua ya Mabula Super 8 Ligi ya Wilaya ya...
1 Reactions
9 Replies
526 Views
Siku moja tusikie mwigulu nchemba ni rais wa Zanzibar au tumuone mnyakyusa kutoka mbeya akiiongoza ikulu ya Zanzibar ! Kwa Nini mngoni ,mmatumbi na mndengeleko wasiwe na sifa ya kuongoza zanzibar...
11 Reactions
41 Replies
2K Views
Timu ya Kagera Sugar FC ya mjini Bukoba, imeshuka rasmi daraja na hatutakuwanayo msimu ujao kwenye ligi kuu kufuatia ushindi wa Pamba jiji iliopata leo dhidi ya KenGold FC. Kwa ushindi wa leo...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Nimefuatlilia sana kuhusu stance ya Yanga kugomea mechi. Naona huwa wanaishia na neno HATUCHEZI. Au tunaonewa. Au Dhulma! Naomba msaada wa kujua hasa madai yao ni nini? Maana wanapingana mpaka na...
6 Reactions
92 Replies
4K Views
Naingia wasisi kwani Chamalone binafsi simwamini Tena maana anatusababishiaga magoli ya kizembe, yule jamaa aliyecheza alipokuwa majeruhi ni hatari sana mzee baba, hajasababisha tufungwe goli...
1 Reactions
5 Replies
524 Views
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SC🆚Namungo FC 📆 13.05.2025 🏟 KMC Complex 🕖 10:15 Jioni Updates Lineups YANGA NAMUNGO Updates Dk 26 > Yanga wanapata goli la kwanza (Aziz ki)...
8 Reactions
82 Replies
6K Views
Nimeamua kuongea ukweli wa wazi wazi, kwanza Mjue kuwa simba ni timu ya mtu tajiri katika nchi masikini, utajiri wa Mmiliki wa Simba MO Dewji bado ni mdogo na hajafikia utajiri mmiliki wa...
10 Reactions
64 Replies
4K Views
🚨 ➡️ROUND 26.✅ ⚽MOST GOALS 🇨🇮Jean Charles Ahoua - 15 🇨🇲 Leonel Ateba - 12 🇺🇬Desse Mukwala - 11 🇨🇩Fabrice Ngoma - 4 🇹🇿Shomari Kapombe - 3 🇨🇩Ellie Mpanzu - 3 🇹🇿Kibu Denis - 2 🇹🇿Valentino Mashaka...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Najiuliza tu, Kama kanuni zinasema Timu itakayoingia uwanjani endapo mpinzani hatatokea basi adhabu hufuatia, Sasa Yanga ndiye mwenyeji wa mchezo, Ndiye anapaswa kuamua mchezo uchezwe wapi, Je...
4 Reactions
5 Replies
449 Views
Kuna namna huwa ninamfuatilia Mbappe hususan kwenye mechi kubwa kubwa, Kwa kifupi ni mpambanaji na huwa anascore magoli, lakini mwisho wa siku timu yake huwa haipati ushindi! Kuanzia ile World...
9 Reactions
45 Replies
2K Views
Viporo vyote vimeliwa bila utata wowote. Sasa Yanga inapumuliwa kisogoni. Yanga mnaisikia pumzi ya Simba Sc?
10 Reactions
31 Replies
1K Views
Wakuu! Hii haikubaliki Mechi ya Ligi Kuu ya Wanawake kati ya Simba Queens na Mashujaa Queens hapo jana (Mei 12) ilizua taharuki baada ya kumalizika kwa sare ya mabao 2-2. Baadhi ya Viongozi wa...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Pamoja na maneno yote ya kutuvunja moyo,lakini Klabu ya Simba imo miongoni mwa vilabu vinne tu vilivyobaki katika mashindano makubwa kabisa yanayotambuliwa na shirikisho la soka la Afrika.CAF...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Kwa mechi 3 zilizopita ambazo simba amecheza kiwango cha mutale katika kufanikisha ushindi wa timu kimekua ni superb Angalia goli la pili la simba Leo na hata la kwanza anakaba,anatoa pasi hakai...
11 Reactions
46 Replies
2K Views
° The current, historical 32 team group stage format will transition to a 36 team league phase from 2024. ° Each team will face eight different opponents, drawn from each of the four...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
I salute you kinsmen. Usajiri ule wa dirisha kubwa na hili dogo team mbalimbali zimesajili ikiwemo simba na yanga . Usajili ni patapotea ila kwa kiasi kikubwa usajili ni akili ya viongozi na...
6 Reactions
42 Replies
2K Views
Simba: Hatuchezi hadi waliovunja kanuni wachukuliwe hatua Yanga: Ooh,walikuja na mbuzi,na vizee vifupi,imagine mabasi mawili,mabaunsa mnajuaje ni wa Yanga,bodi ya ligi mna pendelea,rais wa TFF...
2 Reactions
2 Replies
522 Views
What's up, fellow footballers! Today, I want to talk about something that's been bugging me for a while: time-wasting in our Tanzanian league. We all know it happens – players faking injuries...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom