Simba walipoenda kufanya mazoezi,walikutana na watu waluojulikana kama mabaunsa.
Walitoa taarifa ya malalamiko yao siku ile ile.
Bodi ya ligi walikuwepo na walipaswa kupitia mwakilishi wao kutoa taarifa polisi ili wale wahuni wakamatwe.
Huenda walitoa taarifa polisi na huenda kwa sababu polisi nao ni mashabiki labda hawakuwakamata wale watu badala yake waliwasaidia kuwazuia Simba wasiingie uwanjani.
Katika hali ya kawaida huwezi kuacha uhalifu ufanyike kwa vile eti kuna adhabu iliyotamkwa kuuadhibu uhalifu huo.
Ni sawa unaona mtu mzima anabaka,halafu mbakaji anadai aachwe aendelee kufanya kitendo kile kwa vile sheria inasema atafungwa miaka 30,hivyo aadhibiwe tu kwa sheria iliyopo.
Hawa mabaunsa walikuwa wahalifu na walifanya vitendo vya ugaidi sio tu kuwazuia Simba kufanya mazoezi.
Iwapo Simba wangewaita mashabiki wao waje kuwasaidia kwa kuwa polisi wameshindwa kuwasaidia unadhani nini kingetokea?
Au mlitaka hadi mtu auwawe ndio mjue kulikuwa na tishio la amani?
Suluhisho: Mechi ichezwe lakini kila mtu amepata somo la kujifunza hasa kwenye kuepuka kuendekeza uhuni kwenye soka kama ule uliofanywa na mabaunsa wa yanga