Kila uwanja zikicheza ni kama ziko nyumbani...why?

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,669
Kwaini hizi timu 2 za kariakoo kila zinapocheza zinakuwa kama zipo uwanja wa nyumbani popote pale Tanzania?...babati unakuta timu ya kariakoo inashangiliwa kuliko mwenyeji...hii imekaaje?..
Watu wa mikoani kwa nini hawashabikii timu za kwao?...

Hii hali inaua mpira kabisa
 
Unataka kusema timu za kariakoo zishangiliwe na wazaramo tu ?
 
Dar ndio Tanzania,kilichopo Dar ni rahisi kupenya mikoani kuliko cha mkoani kupenya Dar labda kiende hukohuko Dar.
 
Kwaini hizi timu 2 za kariakoo kila zinapocheza zinakuwa kama zipo uwanja wa nyumbani popote pale Tanzania?...babati unakuta timu ya kariakoo inashangiliwa kuliko mwenyeji...hii imekaaje?..
Watu wa mikoani kwa nini hawashabikii timu za kwao?...

Hii hali inaua mpira kabisa
Elimu ya kujitambua inatakiwa ifundishwe japokuwa tumechelewa kwa kizazi kilichopo lakini kwa kizazi kijacho itawasaidia sana tu.
 
Hizini zaidi ya timu,ni ukichaa,au imani kabisa hizi ni dini
 
Kwaini hizi timu 2 za kariakoo kila zinapocheza zinakuwa kama zipo uwanja wa nyumbani popote pale Tanzania?...babati unakuta timu ya kariakoo inashangiliwa kuliko mwenyeji...hii imekaaje?..
Watu wa mikoani kwa nini hawashabikii timu za kwao?...

Hii hali inaua mpira kabisa
Ngoja nikupe somo;
Tanzania kuna mashabiki wa timu hizi mbili za Simba na Yanga tu.
Yaan wanavyosema Tanzania inakadiriwa kuwa na watu milion 60, fanya kama unaigawa hyo idadi kwa timu hizi mbili. (Ijapokuwa Simba wapo wengi zaidi) Ila tufanye tuu kuwa ugawagawia kwa usawa wa mil.30 kwa mil.30.
Hvyo basi, hizi timu nyngne zote ktk ligi zilizobaki zimeundwa na mashabik wa timu hizi mbili, anzia Azam, Kmc, Singida BS, Costal union, n.k n.k.
Kwhyo ukifuatilia Viongozi wa Vilabu vilivyosalia wote n mashabik wa hizi Simba na Yanga, na huez kubadilisha hilo, ispokuwa wanaficha yale mahabba pindi wakiwa ktk halaiki, ila moyoni anajijua yupo upande gan.
Hvyo ukiona timu ya Mkoani inacheza na Simba, basi mashabik wa simba utawakuta na wale utakaowaona wanashabikia timu hyo ya mkoani basi ujue hao n wale wa Yanga. Lakn hizi timu zilizobak hazina mashabiki. OVA
 
Dar ndio Tanzania,kilichopo Dar ni rahisi kupenya mikoani kuliko cha mkoani kupenya Dar labda kiende hukohuko Dar.
Umeweka comment ya ajabu sana hivyo unateka kusema timu ya netball ya Dar ikienda kucheza na timu ya netball ya Tabora wakazi wa Tabora watashangilia timu ya Dar? Kaa ukijua Simba na Yanga ni timu za kitaifa na hizo brand zilitengenezwa hazijaja tu kirahisi. Ndio ufahamu kuanzia leo Simba na Yanga sio timu za mchezo nchezo hapa Tz.
 
Duh kwa hiyo we wa kunifundisha mimi kweli!
 
Back
Top Bottom