Ali Kamwe: Simba atafungwa nje ndani na Berkane

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
23,027
Reaction score
33,003
[emoji3447] π—¦π—œπ— π—•π—” π—”π—‘π—”π—£π—œπ—šπ—ͺ𝗔 π—‘π—π—˜ π—‘π——π—”π—‘π—œ, π—žπ—’π— π—•π—˜ π—Ÿπ—” π—•π—˜π—₯π—žπ—‘π—˜ π—›π—œπ—Ÿπ—œ.

β€œNimeshaanza dua hii anapigwa home and away anachukua Berkane, alafu waambieni Makolo wakitaka kuongea na Yanga wawe na Kombe mkononi, Sio wanafika kwenye historia zetu wanapiga kelele, jogoo anawika leo wakati sisi tulishakula, mtese mtu na kitu ambacho Hana,”

Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc - Ali Kamwe
 
Yaani huyo duwah yake huwa haisikilizwi na shetani, majini Wala nguvu yoyote ile ya asili (supernatural powers).

Akisema ndiyo kwanza mambo huenda kinyume chake. Kwa kitendo chake kusema kuwa Simba itapigwa nje ndani. Ni ishara tosha kuwa Simba ni Bingwa wa Kombe la shirikisho CAF!
 
[emoji3447]... π—¦π—œπ— π—•π—” π—”π—‘π—”π—£π—œπ—šπ—ͺ𝗔 π—‘π—π—˜ π—‘π——π—”π—‘π—œ, π—žπ—’π— π—•π—˜ π—Ÿπ—” π—•π—˜π—₯π—žπ—‘π—˜ π—›π—œπ—Ÿπ—œ.

β€œNimeshaanza dua hii anapigwa home and away anachukua Berkane, alafu waambieni Makolo wakitaka kuongea na Yanga wawe na Kombe mkononi, Sio wanafika kwenye historia zetu wanapiga kelele, jogoo anawika leo wakati sisi tulishakula, mtese mtu na kitu ambacho Hana,”

Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc - Ali Kamwe

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hawa Watu mnawatoaga wapi? Huyu anawezaje kuitwa Manager?
 
[emoji3447] π—¦π—œπ— π—•π—” π—”π—‘π—”π—£π—œπ—šπ—ͺ𝗔 π—‘π—π—˜ π—‘π——π—”π—‘π—œ, π—žπ—’π— π—•π—˜ π—Ÿπ—” π—•π—˜π—₯π—žπ—‘π—˜ π—›π—œπ—Ÿπ—œ.

β€œNimeshaanza dua hii anapigwa home and away anachukua Berkane, alafu waambieni Makolo wakitaka kuongea na Yanga wawe na Kombe mkononi, Sio wanafika kwenye historia zetu wanapiga kelele, jogoo anawika leo wakati sisi tulishakula, mtese mtu na kitu ambacho Hana,”

Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc - Ali Kamwe
Kweli Utopolo ni Utopolo tu.

Kinachowafanya kila siku kujisifu kuifunga Simba Goli Tano wakati Simba alishamfunga goli zaidi ya 5 mara 3 ni nini kama analijua hilo

Jinga sana huyu UTOPOLO
IMG_20250508_221938.JPG
IMG_20250508_221857.JPG
 
Yaani huyo duwah yake huwa haisikilizwi na shetani, majini Wala nguvu yoyote ile ya asili (supernatural powers).

Akisema ndiyo kwanza mambo huenda kinyume chake. Kwa kitendo chake kusema kuwa Simba itapigwa nje ndani. Ni ishara tosha kuwa Simba ni Bingwa wa Kombe la shirikisho CAF!
By professional yule ni mchambuzi

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Yaani huyo duwah yake huwa haisikilizwi na shetani, majini Wala nguvu yoyote ile ya asili (supernatural powers).

Akisema ndiyo kwanza mambo huenda kinyume chake. Kwa kitendo chake kusema kuwa Simba itapigwa nje ndani. Ni ishara tosha kuwa Simba ni Bingwa wa Kombe la shirikisho CAF!
Amina. Na ikawe hivyo
 
Back
Top Bottom