Hii ndiyo tofauti kati ya timu za Ulaya na Bongo

komeka

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Posts
1,072
Reaction score
404
Wakati timu zetu zikisajili wachezaji wenye majina makubwa bila kupata faida yoyote zaidi ya hasara Tu!! Klabu ya real Madrid ndani ya saa moja ishauza jezi 900 za Rodriguez hii maana kabla Rodriguez hajagusa uwanjani atakuwa alishawarudishia hela zote na faida juu....just imagine yanga wangetumia vizuri fursa ya ujio WA coutinho
 
5.JPG

mbona ziko nyingi tu mtaani...tatizo mapato hayaendi klabuni...
 
Mbona unajaribu kufika Morogoro kabla hujapita Kibaha? Mauzo ya jezi ni kitu kidogo kuliko ya mchezaji. 'Walivyouzwa' Kapombe, Samatta, Okwi, Ochan, n.k. ndivyo Real Madrid inavyouza akina Ozil, Schneider, Robben n.k? Tusishindanishe maziwa na tui, tunaweza tukaonekana punguani au hata tukawa kweli ni punguai!
 
Una maana gani?
 
Back
Top Bottom