Riziki Magembe
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 886
- 206
Wana jamvi leo tunapenda kutoa taarifa kuwa chadema kata ya bwembwera wameanzisha ligi ya mpira wa miguu kwa timu zote za kata ya bwembwera,lengo kukitangaza chama na kuwakusanya vijana na wazee maana kuna mashabiki,kata ya bwembwera chama kinafanya kazi vyema kwa uratibu wa kamanda mpenda ambae ndio mfadhiri wa ligi hiyo,karibu makamanda wote