Watu wa Kazi

Watu wa Kazi

Alola

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
476
Reaction score
300
IMG_3096879224010.jpeg
 
Hiyo mechi ilinyon'gonyesha sana watu. Ilitangaziwa mno kuwa igekuwa moto, mabingwa wa masumbwi na wa karate duniani wakati huo wakipambana. Matokeo yake siku ya siku kila mtu akakaa kwenye pembe yake, mmoja akichezesha vikono yake, mwengine akiinua miguu yake. Waliotolewa muhanga wakawa ni watizamaji. Walipaswa kujua mapema kwamba hata kwa kucheza tu na mpira, usingeweza kumshindanisha Hasheem Thabit na Mbwana Samatta.
 
Ni kipindi dunia ilikuwa imesheheni watu 'MAHILI' katika fani mbali mbali! Huku kuna Moh'd Ally,kule kuna Bruce Lee, Halafu kuna Wacko jacko na pia ukiangalia kule kuna Pele.Aaah wakati umeenda wapi? Kweli ni watu wa kazi!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom